Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #21
Yani sana aisee.Mungu ana nguvu sanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani sana aisee.Mungu ana nguvu sanaaa
Huyu asili yake huinda wanyama, lkn ikitokea bahati mbaya binadamu ameingia anga zake basi hapo ndo kinakuwa kifo chake. Hili dubwasha halina mswalie mtume. Na wanapatikana katika bara la Asia.Wanapatikana wapi hao wanyama kwa sasa kwenye hii dunia?
Vipi binadamu ni kawaida kuwindwa na huyo mnyama au inakuwa kama bahati mbaya tu kupitiwa?
Binadamu tumepewa uwezo wa kutumia silaha za ziada kuwaangamiza wanyama kama vile bunduki, panga, kisu, fimbo au magongo, sumu ya kumuwekea mnyama nk. Wanyama wao wanatumia nguvu zao binafsi kutukabili. Kwahiyo ndio maana tunawaweza. Laiti tusingekuwa tunatumia silaha mbadala ili kukabiliana na wanyama, nina imani sisi ndio tungekuwa tunakimbia badala ya wanyama kutukimbia.Binadamu ni ultimate predator,sababu ya uwezo WA akili tukiamua tuwauwe Simba wote tunaweza ,pahala popote binadam akiweka makazi wanyama wanakula Kona,habari yeti wanayo
🤣🤣🤣🤣 Usiogope mkuu, hawa wanapatikana zaidi katika mapori ya huko Indonesia na katika baadhi ya nchi za AsiaAnapatikana wapi jamani nianze kuepuka hio njia?😂😂
Ya kweli mkuu. Ila sumu yake ni hatari sana kwa viumbe.Bora umemrekebisha mkuu. It takes time kuweza kuua,na inachofanya inazuia pia damu kuganda hivyo mnyama atableed sana.
Yeye akishauma tu, na mate kuingia kwenye kidonda cha muhusika basi humfuatilia huyo mnyama mpaka atakapopata nafasi ya kuanza kumla. Zipo documentary Nat Geo zinazo muhusu.
😂😂😂 Muda huo hautakuwa na nguvu hata ya kunyanyua kijiti cha kibiriti achilia mbali kupambana nae.Nitamnyonga huyo boya tufe wote kmmmk
Akija huku itakuwa ngumu kumdhibiti. Atatumalizia wanyama wetu wote.Abaki huko huko ASIA
Labda anitie ganzi ila lazma nimtukane kmnyk zake ilo nina hakika😂😂😂 Muda huo hautakuwa na nguvu hata ya kunyanyua kijiti cha kibiriti achilia mbali kupambana nae.
Dah afadhali maana kufa bila kuacha mtoto ni kesi kubwa sana🤣🤣🤣🤣 Usiogope mkuu, hawa wanapatikana zaidi katika mapori ya huko Indonesia na katika baadhi ya nchi za Asia
Huyu kenge mwenye jina la kizungu ndio unaemfagilia namna hii!?Habari zenu wana JF wenzangu.
Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon.
Ni kweliBinadamu ni ultimate predator,sababu ya uwezo WA akili tukiamua tuwauwe Simba wote tunaweza ,pahala popote binadam akiweka makazi wanyama wanakula Kona,habari yeti wanayo
Muda huo wa kumtusi si ingekuwa bora zaidi ukautumia kwa kutubia na kusali sala ya mwisho!Labda anitie ganzi ila lazma nimtukane kmnyk zake ilo nina hakika
Ni hatari kama ajastukizwaMnyama hatari duniani ni binadamu tu asipowekewa mipaka