hamuwezi nyegere ( honey badger) huyu anaanzia wapi kwanza....kwanza ngozi ya honey badger ni ngumu kama jiwe hilo jino lake linaingia wap?? na ndo maana kale ka mjamaa kanatembea hata katikati ya simba wengi kanadunda na honey badger anaweza lala hata ndan ya makazi ya fisi au black mamba vzur tuu......sumu ya black mamba humfanya honey badger azimie mda mfupi tuu baada ya hapo anaamka anaendelea kutafuta maokoto..π·πππππ€£