Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,971
- 14,538
- Thread starter
- #481
Thubutu kula sumu ili iwe safari yako ya mbinguni bila nauliHivi kuna watu wanamla kweli huyo mnyama?
Thubutu kula sumu ili iwe safari yako ya mbinguni bila nauliHivi kuna watu wanamla kweli huyo mnyama?
indonesiaAnapatikana wapi jamani nianze kuepuka hio njia?😂😂
komodo yuko indonesia tuKuna stori niliikuta kijiji kimoja huko Mtwara, wanadai kuna kijana alijeruhiwa na huyo mnyama dragon, akawa hawezi kusimama wala kufanya chochote. Akatibiwa sana bila mafanikio, hospitali na tiba za asili bila mafanikio.
Mwisho wa siku aliponea Msumbiji kwa mganga wa kienyeji.
Kwa nilivyosoma hapa kuwa ni mnyama mwenye sumu kali bila shaka huyo dragon aliyemjeruhi alikuwa dragon wa mazingaombwe.
Yule kijana mpaka leo hii wanamwita Dragon na ni mzima wa afya.