Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Wanapatikana wapi hao wanyama kwa sasa kwenye hii dunia?

Vipi binadamu ni kawaida kuwindwa na huyo mnyama au inakuwa kama bahati mbaya tu kupitiwa?
Huyu asili yake huinda wanyama, lkn ikitokea bahati mbaya binadamu ameingia anga zake basi hapo ndo kinakuwa kifo chake. Hili dubwasha halina mswalie mtume. Na wanapatikana katika bara la Asia.
 
Binadamu ni ultimate predator,sababu ya uwezo WA akili tukiamua tuwauwe Simba wote tunaweza ,pahala popote binadam akiweka makazi wanyama wanakula Kona,habari yeti wanayo
Binadamu tumepewa uwezo wa kutumia silaha za ziada kuwaangamiza wanyama kama vile bunduki, panga, kisu, fimbo au magongo, sumu ya kumuwekea mnyama nk. Wanyama wao wanatumia nguvu zao binafsi kutukabili. Kwahiyo ndio maana tunawaweza. Laiti tusingekuwa tunatumia silaha mbadala ili kukabiliana na wanyama, nina imani sisi ndio tungekuwa tunakimbia badala ya wanyama kutukimbia.
 
Ya kweli mkuu. Ila sumu yake ni hatari sana kwa viumbe.
 
Binadamu ni ultimate predator,sababu ya uwezo WA akili tukiamua tuwauwe Simba wote tunaweza ,pahala popote binadam akiweka makazi wanyama wanakula Kona,habari yeti wanayo
Ni kweli
 
Lakini umempamba sana! Kusema ni hatari kuliko kiumbe yoyote duniani! Uhatari wa kiumbehutegemea yupo katika mazingira gani! Mfano anaweza kumuwahi kumpiga sumu mamba ( african) akwa anaota jua akafanikiwa kumuua, lakini akiwa kwienye maji nadhani mamba anaweza kuwin timing akaliwa komondo,halafu hana sumu mwili wote bhana.

Mfano baharini yupo killer whale.

Yote kwa yote nakubaliana na wewe kwamba kiumbe chenye sumu ni kipengele sana kupambana nacho.

Akikudokoa tu umekwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…