Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Wanyama wote hao wanadhibitiwa na mwanadamu kwa kutupiwa wavu.
Wavu ni kiboko ya mnyama yeyeto mtemi duniani si komodo,koboko,chui,tembo, simba,tiger,puma,nk ni confidence yako na timing yako tu ya kuurusha umekosea we ndo utageuka kitoweo.
Hahaha ya ni kweli mkuu
 
Umenikumbusha verse moja ya Juice WRLD

"Bands on me got more dope
I'm dragon boy you're komodo"

Hapo jamaa alikuwa anajigamba kwa kujifananisha na Dragon kwa maana ya kwamba mpinzani wake ni inferior ni kama komodo (mnyama ambaye hatambi kwa dragon)
 
Mkuu nashukuru kwa mchango wako, japo nasikitika haujui vizuri ni mnyama gani tunaemzungumzia hapa. Huyo lizard inaemzungumzia hapa hana uhusiano wowote na hili dubwasha. Ni sawa sawa uone paka afu uje uwambie watu umeona chui eti kwa sababu tu paka na chui wanafanana.

Kifupi hili dubwasha linaitwa Komodo dragon, venom yake haina kinga kwa mnyama yoyote yule hapa duniani.
Hapa nikiwa na maana kwamba huyo mangoose wako akikutana na hili dubwasha ataliwa bila hata kutumia gharama ya sumu. Kwanza ni mkubwa mara 3 au 4 ya huyo mangoose wako, pili ana mdomo wa kuweza kummeza mtoto wa mbuzi wa miezi 2 mzima mzima, na kama ni mnyama mkubwa itachukua dakika 3 tu au 4 awe ashamaliza hadi mkia. Tatu ana sumu ambayo hakuna mnyama anaweza kuiepuka kwa namna yoyote ile, na mwisho ana nguvu mara 5 ya huyo mangoose wako wakijichanga na black mamba wake wote wataliwa kwa pamoja. Don't mess with this devil brother, halina msalie mtume kwa kitu chochote kinachoitwa kiumbe.
 
Anauwa nn vibaya, mbuzi au
Zaman binadam wanaoishi katika mapori yaliokaribu na hao jamaa walikuwa wanaishi vizuri tu kwa raha mustarehe. Sasa haya madubwasha baada ya kumaliza wanyama waliokuwa maeneo hayo. Wameanza kuwinda na binadam. I mean binadam yeyote ukiingia 18 zake umeliwa. Kwahiyo watu wanaanza kwenda kuishi mbali na maeneo au hifadhi za wanyama hao.
 
Mwamba unataka ufe kishujaa kama 2pac. Pamoja na kupigwa risasi huku akiwa katika hali mbaya, lkn bado aliwapa dole la kati maadui zake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwamba alikuwa mbishi kinoma.
Pac mwenyewe kwenye ubora wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu sasa anaitwa Komodo dragon.. yani ni komodo lakini pia ni dragon πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ noma aisee
 
Mungu wangu kiumbe gani tena hiki?
 
Du huyu mnyama sasa ni kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…