Kuna wengine wana pua kubwa unaizuiaje?Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi...
Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake.
1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)?
2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe?
3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu) zinasaidia kuzuia komwe kwa mtoto?
Nawasilisha.
Kwani Kuna shida gani Ukiwa na komwe? Naona watu mnaohangaika.na mambo ya kijingaKwa wenye uzoefu na malezi/uzazi...
Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake.
1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)?
2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe?
3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu) zinasaidia kuzuia komwe kwa mtoto?
Nawasilisha.
Wachaga kwenye hili sijui tatizo ni nini?Wachaga Waite hii thread