DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hizi ndo nchi zilizolaaniwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Identity yangu hiyo ww mkaka mwenye pua kubwaKuna wengine wana pua kubwa unaizuiaje?
Kwani komwe ni ulemavu? Mbona mnapenda ku make big deal out of nothing?Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi...
Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake.
1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)?
2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe?
3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu) zinasaidia kuzuia komwe kwa mtoto?
Nawasilisha.
Kwani komwe ni ulemavu? Mbona mnapenda ku make big deal out of nothing?
Ni sawa uje kuuliza nini kimafanya mtu awe na kanyagio kubwa au pua kubwa au meno makubwa etc.
Kwan komwe lako linakupa changamoto gani on your daily activities hadi uje kufungulia uzi JF??
Hebu tufocus kwenye tangible issues.
Kwani komwe lina shida gani?
Hizi ndo nchi zilizolaaniwa
You are less informed !
Nadhani kunakuwa na kitu hakipo sawa (excessive in something, kitu kama hicho). Kama sio hormonal issue, basi ni defects kwenye ufungaji wa tosi za pande zote mwa kichwa. Ama genetic disorders.
Huko Developed countries, 'frontal bossing' ni medical issue kabisa. Ila Africa isn't an issue.
Ngoja wataalaamu waje watupe ABCs.
😁😁😁People ✓
Peoples x