Konda wa daladala aliniokoa kipindi nachapika na maisha

Pole kwa uliyo pitia na hongera umevuka salama, nimekuelewa sana
Mungu alikupitisha uone maisha jinsi yalivyo na tumaini huwezi dharau mtu wa hali ya chini

Sometimes, nikimua mtu anauza maji, mahindi ya kuchoma na mpa respect sana napenda mwanaume mpambanaji. 👊
 
Niliwahi pia saidiwa na Konda 2015 Goms to Chanika Saa 2.00 usku. Sina hata mia. Nilimueleza shida yangu, jamaa akaniruhusu nipande akaniachia na siti kabisa. Tulifika nikamuomba Na. ya simu akasema haina haja!
dah! mwanetu maisha haya ni fumbo sana
 
shukrani
 
Sometimes, nikimua mtu anauza maji, mahindi ya kuchoma na mpa respect sana napenda mwanaume mpambanaji. 👊
Sure. Hata mimi nikiwaonaga hawa watu, huwa najiuliza "hivi kama huyu bado ana matumini ya maisha na biashara hii, mimi nina sababu gani ya kukata tamaa na shule ninayo?".
Huwa wananipa kila sababu ya kuzidi kukaza.
 
tuendelee kupambana
 
Mademu wanakukimbia kama ukoma..af saiv si unakaz kupat dem nikama kusukma mlevi jmn(Kazi ni utu).
kiumbe mwanamke hawezi vumilia shida,japo hata mimi uvumilivu ulinishinda sio kwa msoto ule
 
Pole kwa uloyopitia na Hongera kwa kupata kazi , hata mimi nilifanya mahafali pale m City 2017 but hali mtaani bado ni ngumu sana naamini ipo siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…