Konda wa daladala aliniokoa kipindi nachapika na maisha

Pole kwa uloyopitia na Hongera kwa kupata kazi , hata mimi nilifanya mahafali pale m City 2017 but hali mtaani bado ni ngumu sana naamini ipo siku.
naweza sema classmate chief, ipo siku utapata mchongo chief
 
Though jamaa kimaandishi hayuko vizuri sana. Ila thread hii Atayepita kwenye comment yangu, ndugu yangu, usife moyo, ipp siku Mungu atatupa zile ndoto zetu ipo siku. Tuwe na subirra na jitihada
 
Ushuhuda wako umenigusa sana,na umenisaidia kubadilisha mtazamo
Nilikuwa nina mtazamo hasi kwa watu wanaoniambia hawajala au hawana nauli,nikiwaona kama matapeli
Na hii ilitokana na baadhi ya watu wanakupiga sound ya namna hiyo unatoa ulicho nacho
ukipita njia hiyo siku nyingine unakutana na mtu huyo huyo na story hiyo hiyo. Kumbe wengine wanakuwa wanamaanisha.
 
Unaongea ukweli. Wahitimu wengi wanaona rangi vya kutosha. Matarajio na uhalisia ni mbengo na ardhi
 
Kuna kondak mmoja nae tumetoka kueewana Sana nilkuwa Nina ofc iko mbali hvyo kwenda na kurud Ni buku 2 wkt mwingine sijauzaa Basi nikamueleza konda kuwa Huku biashRa mgumu sna wakt mwingi uwe usinidai mnk pesa inakuwa Sina akanielewa nikawa napanda bure nakurud nafisia gari lake kisha napanada bure aakakarii kituo changu Cha kushukia akifika anaismamisha bila hatakumuambiaaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkumbuke uyo jamaa ukipata chochote kitu..
 
chief acha tu!
 
Yupo jamaa hapa Dar kwa jina Masawe Kuna siku alikua Hana hata unga wa kukorogea uji. Basi akamfuata jamaa yake town, na jamaa akamuambia usihofu, njoo ofisini kwangu saa tatu asubuhi kesho nitakua nimeshatoka benki.
Basi jamaa yangu Masawe mwenye njaa asubuhi na mapema akaanza mdogo mdogo kwa mguu mpaka posta akitokea Mwananyamala alikopanga . Kufika ofisini kwa tajir akaambiwa boss amekusubiri Sana wewe hutokei, amesema Kama unahitaji kumuona umfuate Uwanja wa ndege maana leo Kuna mzigo anausubiri huko eapoti.
Mwenye njaa Masawe Mia mfukoni Hana, huku ana njaa na jua ndio limeanza kuwaka. Mwenye njaa akapiga moyo konde na njaa yake na kiu akaianza safari ya kumfuata boss Uwanja wa ndege. Ile njia haina shortcut Wala kivuli. Ilibidi Sasa asitembee polepole maana Kama atamkosa boss Uwanja wa ndege ingebidi arudi Mwananyamala kwa mguu huku ana njaa na kiu.
Dogo alipiga moyo konde Ile kufika airport Ni saa Saba, akaambiwa boss Yuko lunch nje ya Uwanja , kumbuka mshkaji alikua Hana simu maana enzi zile wenye simu Ni wachache kuliko wenye magari.
Alisubiri Hadi saa nane ndipo tajiri alipotokea na kumkabidhi ule mkopo. Mwenye njaa baada ya kuagana na tajir alipanda daladala Hadi buguruni sokoni. Alinunua papai laini kwanza maana kwa zaidi ya masaa 24 alikua hajatia kitu tumboni.
Baada ya hapo akachukua mchuma wa Mwananyamala.
 
ndivyo maisha yalivyo mkuu,
 
ndivyo maisha yalivyo mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…