sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Koh koh koh, yooooo jeshiiiiiiii , views for everibadeee
Cha ajabu jamaa hajali kabisa na anajiona tembo, kapost kwenye page yake kujipongeza huku akila mafegi kho!! Kho!! Kho!!
Views milioni 1.3 hizo ndani ya sekunde 30😳😳 ..... Koh koh koh, Konde gang mziki umewashinda kihivyo mpaka mnunue views bila kificho wala kucheza na timing ?
Hii pia ilifanyika kwa wasanii wengine wa Konde gang kama Ibrah alipata views Laki 3 ndani ya dakika moja na Killy nae aliweza kupata views milioni 1 ndani ya saa moja tu,,,
Ni masaa mawili yamepita ila views haziongezeki, ni ushahidi tosha hizo views milioni 1.3 zimenunuliwa, views za kweli zinakngia taratibu sana.