Kwahiyo unataka kutuambia watu 1.4M wanaweza kuangalia video yake kwa second 34? Na hao 3.4M walike Watu wa 4 na comment ziwe 9 na kusiwe na dislikes hii inawezekana vipi? Maana hata michael jackson hana hii record ya namna hii ndio iwe kwa mmakondeHadi sasahv ina viewers 2M...nyimbo kali sana, video simple ila kali I mean ina deserve kula hizo viewers