Konde Gang: Sahau views laki 3 za Ibra ndani ya dakika 1, Harmonize kafikisha views Milioni 1.3 ndani ya sekunde 30

Konde Gang: Sahau views laki 3 za Ibra ndani ya dakika 1, Harmonize kafikisha views Milioni 1.3 ndani ya sekunde 30

Nabii hakubaliki kwao pia si unajua tena roho zetu sisi 😀
Mwisho wa siku hao Kondegang wanafanya Kazi na Ziiki Media ya. Kenya.

Nadhani ndio wanao-control digital platform zao zote.
 
Il maroboti yako chapu kuangalia nyie 😂
Yanamaliza video ya dakika 3 kwa sekunde 20 na yako milioni 😂
Ile view ihesabike sio lazima umalize dakika zote.. Ile ku click tu na video ikaanza kucheza tayari inahesabiwa
 
Haya mashindano ya views kwanza huwa yanatoka wapi na yanasaidia Nini?

Mimi ninachojua Kama una subcribers laki moja.

Ukatoa wimbo, na kika subscriber akapata notification unashindwa kupata views on elfu 60 ndani ya sekunde 36?

Huyo harmonize ana subscriber Milioni 3 plus.

Sasa hicho hicho mnachokiona Kama muujiza Mimi naona Ni kawaida tu.
Hata angekuwa na subscrib 1B usingeona hata view mmoja ndani ya hizo sekunde, kwasababu view inahesabiwa baada ya sekunde 35 kwenda mbele, kama mtu hataangalia kwa sekunde hizo bado inahesabika kama hajaangalia video hiyo.

Pili notification haziwafikii watu kwa pamoja, mwingne anawez pata notification baada hata ya masaa,

So hiyo video imefanyiwa mafekechee, aibu sana hii.
 
Sawa kamanda
 
Ngoja tuone mkuu maana sio mchezo pia mimi kwangu haimake sense ndani ya sekunde 30 upate views mils 2 halafu ipite siku 2 haijafika 2 mls kweli mkuu?
Kingine Cha kushangaza zaidi inawezekanaje watu 1.3M waliangalia video yake kwa second 34 eti walio like wawe 4 na waliocomment ni 9 na kusiwe na dislike kabisa MoseKing unautani aisee hiyo nguvu yakumtetea unaitolea wapi?
 
Kijana endelea na Biashara yako ya mikoba
 
Tatizo la Konde boy na crew yake wamewekeza sana akili na nguvu zao kushindana na WCB kuliko hata kuendeleza wasanii wao!! Mpaka wamekosa akili kabisa juu ya vitu vingine!! Hii ni aibu kubwa sana aisee daah.
Huyo seba ameshindwa kuendeleza biashara zake band zimekufa,club jembe imekufa...akajua konde atamuinua
 
1649881584260.png

Video ya dakika tatu na nusu itaonekanaje ikamilike kwa sekunde 21 ? Maana isipokuwa played hadi mwisho haitahesabiwa kama ni a view
 
Hadi sasahv ina viewers 2M...nyimbo kali sana, video simple ila kali I mean ina deserve kula hizo viewers
 
Back
Top Bottom