Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Nabii hakubaliki kwao pia si unajua tena roho zetu sisi 😀Anyway, poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nabii hakubaliki kwao pia si unajua tena roho zetu sisi 😀Anyway, poa
Mwisho wa siku hao Kondegang wanafanya Kazi na Ziiki Media ya. Kenya.Nabii hakubaliki kwao pia si unajua tena roho zetu sisi 😀
Ile view ihesabike sio lazima umalize dakika zote.. Ile ku click tu na video ikaanza kucheza tayari inahesabiwaIl maroboti yako chapu kuangalia nyie 😂
Yanamaliza video ya dakika 3 kwa sekunde 20 na yako milioni 😂
Hapana view ile ihesabike ni lazima utizame kwa sekunde 30Ile view ihesabike sio lazima umalize dakika zote.. Ile ku click tu na video ikaanza kucheza tayari inahesabiwa
Nyie wote ndo mlioongeza views, video wame upload sekunde ishirini zilizopita tayari ushaiona, sijui mnawezajeSio Sekunde 30, ni chini ya sekunde 20!!! 😳😳😳View attachment 2185758
Hata angekuwa na subscrib 1B usingeona hata view mmoja ndani ya hizo sekunde, kwasababu view inahesabiwa baada ya sekunde 35 kwenda mbele, kama mtu hataangalia kwa sekunde hizo bado inahesabika kama hajaangalia video hiyo.Haya mashindano ya views kwanza huwa yanatoka wapi na yanasaidia Nini?
Mimi ninachojua Kama una subcribers laki moja.
Ukatoa wimbo, na kika subscriber akapata notification unashindwa kupata views on elfu 60 ndani ya sekunde 36?
Huyo harmonize ana subscriber Milioni 3 plus.
Sasa hicho hicho mnachokiona Kama muujiza Mimi naona Ni kawaida tu.
Ooohh kumbee.. sikuwa najua, Ila Asante pia umejibu kiungwana sanaHapana view ile ihesabike ni lazima utizame kwa sekunde 30
Sawa kamandaHata angekuwa na subscrib 1B usingeona hata view mmoja ndani ya hizo sekunde, kwasababu view inahesabiwa baada ya sekunde 35 kwenda mbele, kama mtu hataangalia kwa sekunde hizo bado inahesabika kama hajaangalia video hiyo.
Pili notification haziwafikii watu kwa pamoja, mwingne anawez pata notification baada hata ya masaa,
So hiyo video imefanyiwa mafekechee, aibu sana hii.
Kingine Cha kushangaza zaidi inawezekanaje watu 1.3M waliangalia video yake kwa second 34 eti walio like wawe 4 na waliocomment ni 9 na kusiwe na dislike kabisa MoseKing unautani aisee hiyo nguvu yakumtetea unaitolea wapi?Ngoja tuone mkuu maana sio mchezo pia mimi kwangu haimake sense ndani ya sekunde 30 upate views mils 2 halafu ipite siku 2 haijafika 2 mls kweli mkuu?
Kijana endelea na Biashara yako ya mikobaKingine Cha kushangaza zaidi inawezekanaje watu 1.3M waliangalia video yake kwa second 34 eti walio like wawe 4 na waliocomment ni 9 na kusiwe na dislike kabisa MoseKing unautani aisee hiyo nguvu yakumtetea unaitolea wapi?
Unanitukana kisa harmonize duh! Una undugu nae nini au mmetoka kabila moja?Kijana endelea na Biashara yako ya mikoba
Huyo seba ameshindwa kuendeleza biashara zake band zimekufa,club jembe imekufa...akajua konde atamuinuaTatizo la Konde boy na crew yake wamewekeza sana akili na nguvu zao kushindana na WCB kuliko hata kuendeleza wasanii wao!! Mpaka wamekosa akili kabisa juu ya vitu vingine!! Hii ni aibu kubwa sana aisee daah.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sio Sekunde 30, ni chini ya sekunde 20!!! 😳😳😳View attachment 2185758