Kwahiyo unataka kutuambia watu 1.4M wanaweza kuangalia video yake kwa second 34? Na hao 3.4M walike Watu wa 4 na comment ziwe 9 na kusiwe na dislikes hii inawezekana vipi? Maana hata michael jackson hana hii record ya namna hii ndio iwe kwa mmakondeHadi sasahv ina viewers 2M...nyimbo kali sana, video simple ila kali I mean ina deserve kula hizo viewers
Basi wimbo mbaya dadaKwahiyo unataka kutuambia watu 1.4M wanaweza kuangalia video yake kwa second 34? Na hao 3.4M walike Watu wa 4 na comment ziwe 9 na kusiwe na dislikes hii inawezekana vipi? Maana hata michael jackson hana hii record ya namna hii ndio iwe kwa mmakonde
Pili mnatokea South...Wamakonde tunachukiwa kwasababu kwanza tuna exposure!
Issue hapa sio kuwa wimbo ni mzuri au mbaya ni inawezekanaje vip watu 1.4M waangalie video yake kwa second 34? ndio mjadala ulipoBasi wimbo mbaya dada
Kwanini usiwaulize wenye wimbo huko YouTube unatuuliza sisi?Issue hapa sio kuwa wimbo ni mzuri au mbaya ni inawezekanaje vip watu 1.4M waangalie video yake kwa second 34? ndio mjadala ulipo
Mfano mfu huu. Unamtumia Diamond kuficha madudu ya HarmonizeKuna mwaka walianzisha uzi kusema Diamond ananunua views watetez wa Diamond wakapinga. Leo wao wanamshutumu Harmonize kununua views.
Ndiyo maana kuna reference na case studyMfano mfu huu. Unamtumia Diamond kuficha madudu ya Harmonize
video za Diamond hazijawahi kuwa na shida, wabongo walisema ananunua views kwa kukosa kwao uelewa na kwa kuwa alikuwa amewaacha mbali wasanii wenzake wa Tanzania . Kipindi hicho Diamond anasemwa tayari Davido alikuwa na viewers wengi kwenye baadhi ya nyimbo zake kumshinda yeye.Ndiyo maana kuna reference na case study
The fact that unaona haiwezekani ndiyo hata once watu walisema hivyo pia.video za Diamond hazijawahi kuwa na shida, wabongo walisema ananunua views kwa kukosa kwao uelewa na kwa kuwa alikuwa amewaacha mbali wasanii wenzake wa Tanzania . Kipindi hicho Diamond anasemwa tayari Davido alikuwa na viewers wengi kwenye baadhi ya nyimbo zake kumshinda yeye.
Pia Diamond hajawahi kuwa na rekodi yoyote ile ya dunia huko youtube.
Tusizunguke sana, 1.3M views kwa sekunde inawezekanaje?
Kuna mwaka walianzisha uzi kusema Diamond ananunua views watetez wa Diamond wakapinga. Leo wao wanamshutumu Harmonize kununua views.
Richard spencer nakazia hoja yako nyimbo nyingi za diamond zinazo angaliwa Sana kwa muda mchache nyingi zinakuja kupata viewers wengi kwa mwaka mfano waah ulipata viewers 1M kwa masaa 22 mpaka tunazungumzia sasa hivi ina viewers 105M, inama iliangaliwa 1M kwa masaa 24 tunapozungumza kwa sasa ina 102M hoja ya huyo jamaa ni dhaifu ukija kwa konde gang hizo nyimbo ambazo zimeangaliwa kwa viewers wengi kwa muda mchache ukija kuja kuangalia kwa mwaka utakuta azijazidi hata 7M zinatabia za kuganda ukuti Tena zikitembea ndio wadau hapa wanahoji inakuaje wimbo wako uliogonga 1.3M kwa second 34 inashindwaje kufika 10M kwa mwaka?video za Diamond hazijawahi kuwa na shida, wabongo walisema ananunua views kwa kukosa kwao uelewa na kwa kuwa alikuwa amewaacha mbali wasanii wenzake wa Tanzania . Kipindi hicho Diamond anasemwa tayari Davido alikuwa na viewers wengi kwenye baadhi ya nyimbo zake kumshinda yeye.
Pia Diamond hajawahi kuwa na rekodi yoyote ile ya dunia huko youtube.
Tusizunguke sana, 1.3M views kwa sekunde inawezekanaje?
Unataka kusema nini sasa?Richard spencer nakazia hoja yako nyimbo nyingi za diamond zinazo angaliwa Sana kwa muda mchache nyingi zinakuja kupata viewers wengi kwa mwaka mfano waah ulipata viewers 1M kwa masaa 22 mpaka tunazungumzia sasa hivi ina viewers 105M, inama iliangaliwa 1M kwa masaa 24 tunapozungumza kwa sasa ina 102M hoja ya huyo jamaa ni dhaifu ukija kwa konde gang hizo nyimbo ambazo zimeangaliwa kwa viewers wengi kwa muda mchache ukija kuja kuangalia kwa mwaka utakuta azijazidi hata 7M zinatabia za kuganda ukuti Tena zikitembea ndio wadau hapa wanahoji inakuaje wimbo wako uliogonga 1.3M kwa second 34 inashindwaje kufika 10M kwa mwaka?
Barcelona anakufa hukoRichard spencer nakazia hoja yako nyimbo nyingi za diamond zinazo angaliwa Sana kwa muda mchache nyingi zinakuja kupata viewers wengi kwa mwaka mfano waah ulipata viewers 1M kwa masaa 22 mpaka tunazungumzia sasa hivi ina viewers 105M, inama iliangaliwa 1M kwa masaa 24 tunapozungumza kwa sasa ina 102M hoja ya huyo jamaa ni dhaifu ukija kwa konde gang hizo nyimbo ambazo zimeangaliwa kwa viewers wengi kwa muda mchache ukija kuja kuangalia kwa mwaka utakuta azijazidi hata 7M zinatabia za kuganda ukuti Tena zikitembea ndio wadau hapa wanahoji inakuaje wimbo wako uliogonga 1.3M kwa second 34 inashindwaje kufika 10M kwa mwaka?
Kapatwa na nini ukoBarcelona anakufa huko
Naunga mkono, huyu Mmakonde inabidi aje na majibu ya kueleweka.Richard spencer nakazia hoja yako nyimbo nyingi za diamond zinazo angaliwa Sana kwa muda mchache nyingi zinakuja kupata viewers wengi kwa mwaka mfano waah ulipata viewers 1M kwa masaa 22 mpaka tunazungumzia sasa hivi ina viewers 105M, inama iliangaliwa 1M kwa masaa 24 tunapozungumza kwa sasa ina 102M hoja ya huyo jamaa ni dhaifu ukija kwa konde gang hizo nyimbo ambazo zimeangaliwa kwa viewers wengi kwa muda mchache ukija kuja kuangalia kwa mwaka utakuta azijazidi hata 7M zinatabia za kuganda ukuti Tena zikitembea ndio wadau hapa wanahoji inakuaje wimbo wako uliogonga 1.3M kwa second 34 inashindwaje kufika 10M kwa mwaka?