Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

Rayvanny ndio ametaka ligi na harmonize, kwanza suala linaanza Yeye rayvanny kuachia video clip kwakuwa Harmonize anakick na kajala....so sijaona kama harmo amefuata kick hapo
Of Course Atapotea Vibaya

Miezi Kadhaa Nyuma Alikuwa Anashindanishwa Na Diamond Saiz Amedhihirisha Wazi Kuwa Ligi Yake Ni Rayvanny, Wakati Yeye Anapambana Na Kiki Competitor Wake Anaendelea Kupiga Deals Na Yeye Anaachwa Way Behind...
 
Mondi ndio kashuka ..juzi kaingia mkataba wa $5m kimyaa..kubeba vipochi kimyaa..kamleta Zari mpaka Taifa kimyaa...kamleta mvuta fegi wa Mombasa kimyaa....ebo hata Michael Jackson ilikuwa hivi hivi...
$5M unaijua lakini......
 
Mtoa mada unasema harmonize mshamba kwa kutuma picha za utupu kwa Paula, je unauhakika ile video alituma au walikuwa wanafanya video call? je hapo mshamba naona ni paula na kajala kwa kuvujisha.
 
Katika kitu ambacho nauhakika.
Kajala na mwanae wameshare na watendelea kushare wanaume wengi sana.


Kuna umuhimu wa wanaume kuangalia pa kumwaga mbegu.p
Ni kweli wanaume wengi ni wahuni huwa hawaoni shida kulala mama na bintiye, au ndugu wa damu. Shida kajala ni kichwa panzi
 
Angekuwa ni msanii wa kike kaanika tupu zake mtandaoni Basata wangemjia juu na kumfungia. Lakini wasanii wa kiume wanafanya watakacho Basata kimya!!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuwe wakweli tuache utimu wewe unaona anapoelekea jamaa ni kuzuri?wabongo wenyewe unawajua wengi wanafiki Kama wamemgeuka anko Magu hata 40 haijafika itakuwa hao chawa wake kina hbaba na mwijaku dalili za kunikataa zishaanza kuonekana .
 
Nasikia kwanza Mmemuongezea Sifa kuu,mtoto wa watu kawa Gumzo,kila Mdada anataka kuiona Video,wengine wanasema kuiona tu Wameloa,Ana kitu Management ya Wasafi Combined[emoji1787][emoji1787]

Wasafi wakae kwa kutulia
 
We harmo kajua kuwajambisha hadi rayvan kaimba kama saida caroli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Team domo mmeanza wanawake wote tumehamia timu Harmonize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…