Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

Kondeeeeee achaA [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Najua haya yote ni upepo hizo msg zake na picha zake za uchi,ila sizani kama ana kula poda ila bangi najua anavuta.
Tuwe wakweli tuache utimu wewe unaona anapoelekea jamaa ni kuzuri?wabongo wenyewe unawajua wengi wanafiki Kama wamemgeuka anko Magu hata 40 haijafika itakuwa hao chawa wake wakina hbaba na mwijaku dalili za kumkataa zishaanza kuonekana .
 
Gazeti refu mi shabiki maandazi tu watajua wenyewe!Ubongo wangu ushachoka!miye
 
Tuwe wakweli tuache utimu wewe unaona anapoelekea jamaa ni kuzuri?wabongo wenyewe unawajua wengi wanafiki Kama wamemgeuka anko Magu hata 40 haijafika itakuwa hao chawa wake kina hbaba na mwijaku dalili za kunikataa zishaanza kuonekana .
Kimziki kibongo bongo alipo si pabaya,ila hili la poda sizani kama anatumia.
 

Wanawake tumependa tumefurahishwa tutamsapoti hamo[emoji12]
 
Harmo hana mziki mzuri tena, han uwezo wa kumshawish msikilizaj w aiyola leo akamuelw anafanya mduara, mipasho na mda mwingi anajitetea tu , how come kwa mashabik wake ambao hatutak kusikia huu upuuzi kweny burudan zetu!?
 
Halafu wale WCB hawawezi ogopa Sana watu wenye umoja halafu wapo wengi na wanakujua undani wako lazima upotee
Lazima apotee? wao kama kina nani? Ridhiki anatoa Mungu......ukiona kuanzia uncle shamte,aristote,lukamba,uncle shamte, Sallam sk, babalevo na rayvanny wote wanamuandama mtu mmoja ujue wanaumia sana na jamaa.....

ukitaka kujua jamaa ni mkali hebu sikiliza Vibaya na nyamaza utajua harmonize anawaumiza sana....

Alafu unasema wewe shabiki wa Harmonise kweli inaandikwa hivo? Ila wasafi haujakosea......
 
Alafu hao wasafi wanajiharibia tu,wangeipotezea wangeonekna wa maana sana..
 
Wasafi wakiona mtu sio tishio hawashughuliki nae mfano mavocco ila ukiona hadi sallam anakosa raha na kujiandikisha unafiki ujue wanaumia sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…