Kondeboy kwanini wimbo wako huu kwa Yanga hukutaja wachezaji wote

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Wimbo mzuri sana ila umewataja tu kina Yao, Bacca, Zingeli, Aucho, Chama, Aziz, Dube na Baleke.
Kipa wetu bora kabisa Diara hujamtaja. Huyo Aziz uliyemtaja ungemalizia Ki maana haijulikani ni yupi kati ya wawili tulionao. Hivi unamuachaje Musonda.

Kwanini usiwakumbuke wachezaji wazawa kama Mudadhir, Mzize, Nondo, Job, Mkude, Mchery, Kibwana nk.
 
Sawa kama ametajwa basi naifuta hoja kwa Diara. Vipi kuhusu Aziz[ni yupi) na vipihao wengine hasa wazawa. Au amegundua ni mashabiki wa Mondi
 
Ila nyimbo za kutaja majina ni ushamba...ule wa mayelee auchoo sijui nini...eeee wa mario...wakiupiga wana Yanga wanaskip hapo kwa Mayele...
Angalizo Chama ni msimu mmoja tuu mtamfukuza...sijui wimbo wenu mtaupeleka wapi...
 
Kabisa ni ushamba
 
Wimbo mzuri sana ila umewataja tu kina Yao, Bacca, Zingeli, Aucho, Chama, Aziz, Dube na Baleke.
Kipa wetu bora kabisa Diara hujamtaja. Huyo Aziz uliyemtaja ungemalizia Ki maana haijulikani ni yupi kati ya wawili tulionao. Hivi unamuachaje Musonda.

Kwanini usiwakumbuke wachezaji wazawa kama Mudadhir, Mzize, Nondo, Job, Mkude, Mchery, Kibwana nk.
Asa kama kaamua kutaja kikosi chake Bora? Kwanza yeye sio msemaji wa yanga mpk ataje majina yote
 
Ila nyimbo za kutaja majina ni ushamba...ule wa mayelee auchoo sijui nini...eeee wa mario...wakiupiga wana Yanga wanaskip hapo kwa Mayele...
Angalizo Chama ni msimu mmoja tuu mtamfukuza...sijui wimbo wenu mtaupeleka wapi...
Kila jambo na wakati wake nyimbo za zamani zilikua zinaimba Rais Nyerere kasema twende geza ulole, ukisiliza leo hauelewi kitu?
 
Wimbo mzuri sana ila umewataja tu kina Yao, Bacca, Zingeli, Aucho, Chama, Aziz, Dube na Baleke.
Kipa wetu bora kabisa Diara hujamtaja. Huyo Aziz uliyemtaja ungemalizia Ki maana haijulikani ni yupi kati ya wawili tulionao. Hivi unamuachaje Musonda.

Kwanini usiwakumbuke wachezaji wazawa kama Mudadhir, Mzize, Nondo, Job, Mkude, Mchery, Kibwana nk.
watatajwa yanga day
 
Ila nyimbo za kutaja majina ni ushamba...ule wa mayelee auchoo sijui nini...eeee wa mario...wakiupiga wana Yanga wanaskip hapo kwa Mayele...
Angalizo Chama ni msimu mmoja tuu mtamfukuza...sijui wimbo wenu mtaupeleka wapi...
Kwani huo ndio wimbo official wa klabu?
 
Ila nyimbo za kutaja majina ni ushamba...ule wa mayelee auchoo sijui nini...eeee wa mario...wakiupiga wana Yanga wanaskip hapo kwa Mayele...
Angalizo Chama ni msimu mmoja tuu mtamfukuza...sijui wimbo wenu mtaupeleka wapi...
Acha ramli chonganishi kama mke wa mganga
 
Nadhani huyu dogo Sirjay (Mazegele boy) Kajitahidi safari hii nadhani nyimbo yake itatumika kwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom