Kondeboy kwanini wimbo wako huu kwa Yanga hukutaja wachezaji wote

Kondeboy kwanini wimbo wako huu kwa Yanga hukutaja wachezaji wote

Wimbo mzuri sana ila umewataja tu kina Yao, Bacca, Zingeli, Aucho, Chama, Aziz, Dube na Baleke.
Kipa wetu bora kabisa Diara hujamtaja. Huyo Aziz uliyemtaja ungemalizia Ki maana haijulikani ni yupi kati ya wawili tulionao. Hivi unamuachaje Musonda.

Kwanini usiwakumbuke wachezaji wazawa kama Mudadhir, Mzize, Nondo, Job, Mkude, Mchery, Kibwana nk.
Huo wimbo uko wapi na sisi tuusikie?. Wengine tupo mbwinde hata radio hazishiki
 
Siwapangii Yanga ila angalau walipaswa kuja na Wimbo ambao haumtaji mchezaji yeyote zaidi ya kuisifia club, mcgezaji anaweza kuhama au kustaafu na kuiacha club na wimbo ukakosa maana.

Sio mbaya wasaniii wenu wakati wakaiga kwa Ali Kiba.
 
Back
Top Bottom