Kondeboy kwanini wimbo wako huu kwa Yanga hukutaja wachezaji wote

Huo wimbo uko wapi na sisi tuusikie?. Wengine tupo mbwinde hata radio hazishiki
 
Siwapangii Yanga ila angalau walipaswa kuja na Wimbo ambao haumtaji mchezaji yeyote zaidi ya kuisifia club, mcgezaji anaweza kuhama au kustaafu na kuiacha club na wimbo ukakosa maana.

Sio mbaya wasaniii wenu wakati wakaiga kwa Ali Kiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…