Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Fuatilia mdahalo huu kwa faida yako na faida ya watotio wako.
View: https://www.youtube.com/live/ns5m5m5-20o?si=hLRnoSO87jjQU2b0
Ninajaladia huu uzi, mwezi wa 9 mwaka huu mtaanza kubomoa green house kwa kisingizio ndio zinamaliza maji
Magomeni DAr maji ya Mgao, labda hiyo histria ni huko Rwanda. Tanzania hamjawahi kuwa serious na jambo lolote, mnapenda porojo sana, kila anayekuja anaita "itakuwa historia" , so far hizi mvua mmevuna maji kiasi gani kwa maeneo yenye wakazi wengi na wafugaji?