Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Ninajaladia huu uzi, mwezi wa 9 mwaka huu mtaanza kubomoa green house kwa kisingizio ndio zinamaliza majiFuatilia mdahalo huu kwa faida yako na faida ya watotio wako.
View: https://www.youtube.com/live/ns5m5m5-20o?si=hLRnoSO87jjQU2b0
Hii ni nzuriTumbili ,wajinga waliisha miaka 60+ mnazungumzia maji ilhali hapo Dar es Salaam , Kimara ni mjini na hakuna maji je vipi kule kijijini kwenu Kigoma hali itakuaje?
Serikali, Wizara ya Maji shida nini? Kuna mgao bado tena mgao mkali Kimara na viunga vyake, wamewakosa nini wale walipa kodi? Tulimwona Waziri wa maji kaenda China kujifunza vipi haijamsaidia kidogo hata kupunguza huu mgao ?
Pia Soma ~ Ujenzi kituo cha kusukuma maji Golani wafikia asilimia 80, waongeza kicheko Golani, Saranga na Ukombozi
- mirindimo
- mgao maji kimara mgao wa maji wizara ya maji
- Replies: 12
- Forum: Jukwaa la Siasa
Hii ni barabara ya mtaa maji yanatiriri kama kijito baada ya mvua za leo, kazi ya wizara yenye mamlaka juu ya maji watalaamu wake hawajawahi kuwa na akili ya kuvuna maji ya mvua na kuyatumia hata kusukuma vinyesi vyooni, lakini konganano la kuimba ukosefu wa maji kuwa historia unakumbatiwa.... Mnamdangaya nani hasa? π³Fuatilia mdahalo huu kwa faida yako na faida ya watotio wako.
View: https://www.youtube.com/live/ns5m5m5-20o?si=hLRnoSO87jjQU2b0
Umefuatilia lakini?Wizara ya Sanaa hii.
Nifuatilie rainwater harvesting wakati tuna maji ardhini na mito kibao?Umefuatilia lakini?
πππBlah blah tuu! Hayo maji toka uhuru wanahangaika nayo na vipara vyao hivyo!