Well organised
nonsense02 May 2026
KONGAMANO KUBWA LA VIJANA WA CHADEMA CHASO 2026, UKUMBI WAFURIKA
View: https://m.youtube.com/watch?v=O9I_Z6gJWfA
CHADEMA Students Organization (CHASO) Tarehe 02/05/2026 wasomi wa vyuo vikuu na vya kati Mkoa wa Dar es Salaam na vyuo jirani watakutana katika kongamano la 2026 kujadili hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii nchini Tanzania
Mgeni rasmi ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema bara Mhe. John Wegesa Heche aongea mazito kwa vijana wa CHASO huku Boni Yai mwenyekiti wa CHADEMA akiwakaribisha viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika kushika hatamu ( ku shape) maamuzi ya nchi hii.
Naye mwanasheria mkuu wa CHADEMA Dr. Rugemeleza Nshala awasimulia jinsi enzi zao wakiwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu hawakuacha mambo na sera mbovu za serikali zipite bila kupingwa kwa hoja na hata maandamano
Ukumbi ulifurika vijana kibao wa CHASO huku viongozi wakuu wa CHADEMA wakiwapika vijana kuwa wazalendo wa kweli maana ni wao vijana wa CHASO miaka 40 ijayo 2066 watakuwa wanaatharika wao pamoja na watoto wao na wajukuu zao kwa kuwa 2026 waliruhusu sera mbovu za chama dola kongwe CCM
baadhi yao ndio wale wafuata mkumbo waliofadhiliwa na kupangishiwa kachumba pale nairobi na kale kabibi kalikojiteka Kenya, kwaajiili ya kutunga porojo na uzushi dhidi ya taifa lao, right?
anyoe basi hiyo midevu useless kwa rungumax jamani?MSOMI BONI YAI AWAFUNDA CHASO JINSI YA KUSHAWISHI UMMA KTK KONGAMANO LA CHASO 2026
View: https://m.youtube.com/watch?v=V3jdFC6k0aE
nonsense
anyoe basi hiyo midevu useless kwa rungumax jamani?
baadhi yao ndio wale wafuata mkumbo waliofadhiliwa na kupangishiwa kachumba pale nairobi na kale kabibi kalikojiteka Kenya, kwaajiili ya kutunga porojo na uzushi dhidi ya taifa lao, right?
na hapo ndio wanapewa vyeti vya utambulisho kwa kinukisha sio?
Tulia 🫵 🌈.baadhi yao ndio wale wafuata mkumbo waliofadhiliwa na kupangishiwa kachumba pale nairobi na kale kabibi kalikojiteka Kenya, kwaajiili ya kutunga porojo na uzushi dhidi ya taifa lao, right?
na hapo ndio wanapewa vyeti vya utambulisho kwa kinukisha sio?
DuuhUVCCM vyuo vya elimu ya Juu wameshindwa hoja sasa wanatumia vyombo vya dola kujaribu kuihujumu CHASO CHADEMA
12 June 2026
Silence Joseph Mwakasala CHASO SAUT
View: https://m.youtube.com/watch?v=graiiES4btQ
View attachment 3606503
June 12, 2026
Mahinyila Afunguka Sakata la Kiongozi CHASO Mwanza Kukamatwa na Polisi
Mwakasala ni mwanafunzi wa sheria Chuo cha Mt.Agustino SAUT Mwanza pia kiongozi wa wanafunzi CHADEMA.
Polisi wameelza kuwa anashikiliwa kwa kufanya biashara ya kukopesha kinyume na sheria.Wamesema wanaendelea na uchunguzi kwa kushirikiana na mamlaka nyingine.
View: https://m.youtube.com/watch?v=cir7kfqupwc
Balaa kuu