Kongamano la Ladies In Red

Mwanaume mwenzangu anza kupiga hesabu zako mapema na tafakuri kubwa ya mahusiano yako. Moja ya wazungumzaji wakuu ni Bhoke kutoka kipindi cha Dadaz cha EATV.
Mkuu kama Wanaume tunapaswa kujua ya kuzingatia, ili tuachane na yasiyotuhusu.

Huyo mzungumzaji wao ni retired war veteran - Bed to bed midfielder - Ngono kante, aliwahi kulombwa Live kwenye runinga (Big brother Africa). So zaidi ya kupotoshana hamna cha maana wanawake wanaweza wakazungumza.

Nafikiri badala ya Wanaume kufanya "tafakuri kubwa ya mahusiano" ni bora wakafanya "TAFAKURI KUBWA NI NAMNA GANI WANAJIKWAMUA KIUCHUMI NA KUONDOKANA NA UMASIKINI". Maana thamani ya Mwanaume sasa inapimwa kwa nguvu ya kiuchumi.

Let's hustle, Mwanaume ukiwa masikini huna haki dunia hii ila ukifanikiwa utapangiwa matumizi ya pesa zako.
 
wawe wanapiga mswaki vizuri kabla ya kupaka lips shine basi ndrugu zango maana harufu ya mdomo hua ni aibu dah, huku kupendekeza kinoma πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…