Kongamano la Ladies In Red

Kongamano la Ladies In Red

Mwanaume mwenzangu anza kupiga hesabu zako mapema na tafakuri kubwa ya mahusiano yako. Moja ya wazungumzaji wakuu ni Bhoke kutoka kipindi cha Dadaz cha EATV.
Mkuu kama Wanaume tunapaswa kujua ya kuzingatia, ili tuachane na yasiyotuhusu.

Huyo mzungumzaji wao ni retired war veteran - Bed to bed midfielder - Ngono kante, aliwahi kulombwa Live kwenye runinga (Big brother Africa). So zaidi ya kupotoshana hamna cha maana wanawake wanaweza wakazungumza.

Nafikiri badala ya Wanaume kufanya "tafakuri kubwa ya mahusiano" ni bora wakafanya "TAFAKURI KUBWA NI NAMNA GANI WANAJIKWAMUA KIUCHUMI NA KUONDOKANA NA UMASIKINI". Maana thamani ya Mwanaume sasa inapimwa kwa nguvu ya kiuchumi.

Let's hustle, Mwanaume ukiwa masikini huna haki dunia hii ila ukifanikiwa utapangiwa matumizi ya pesa zako.
 
Ujumbe sijui ni wa nani huu!??
1733503929286.jpg
 
Kama mchumba, au mke wako amekwenda kwenye kongamano la Ladies In Red wao wanasema na kudai ni Kongamano mahususi la Mahusiano linalofanyika Mbezi Garden Hotel.
View attachment 3170670

Mwanaume mwenzangu anza kupiga hesabu zako mapema na tafakuri kubwa ya mahusiano yako. Moja ya wazungumzaji wakuu ni Bhoke kutoka kipindi cha Dadaz cha EATV.
wawe wanapiga mswaki vizuri kabla ya kupaka lips shine basi ndrugu zango maana harufu ya mdomo hua ni aibu dah, huku kupendekeza kinoma 🐒
 
Back
Top Bottom