Kongamano la Wananchi la Katiba kufanyika Lamada Hotel tarehe 28/8/2021

Hii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo

Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada

View attachment 1911692View attachment 1911691

MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
Hii si ya kukosa. Sisi wananchi tunahitaji katiba Mpya.

Mungu mbariki Askofu Mwamakula na Shekh Ponda.

Hapo hakuna chama. Tuone sasa akina Hamza watavamia vipi.
 
Mmeomba kibali? Kila nchi ina utaratibu wake, hatupo USA hapa unajifanyia ujinga wako for the name of democracy
 
Ikifikia siku serikali ikaja na mchakato wa katiba basi tutaanzia TULIPOISHIA....KATIBA PENDEKEZWA!!

#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#KaziIendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…