Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Wingi wao ulikuwa kiasi gani?!!!Kwa mujibu wa Warioba wananchi wote kwa wingi sana walipendekeza serikali 3
Hivi suala la muundo wa serikali za muungano ni la kujadilika?!!!
Wamarekani hawajadili juu ya HIYARI YA KUJITENGA MAJIMBO YAO.....mpaka mwisho wa dahari!
Muungano wetu ni wa kipekee na UKITAKA KUUVUNJA basi zipitishe hoja za G55 UONE KITAKACHOTOKEA kwa pande zote mbili......
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#NchiKwanzaKablaYaYeyoteNaChochote