Kongamano la Wananchi la Katiba kufanyika Lamada Hotel tarehe 28/8/2021

Kongamano la Wananchi la Katiba kufanyika Lamada Hotel tarehe 28/8/2021

Hawaishi kuichokoza serikali kama mkakati wao kwamba wako kazini kuipinga serikali. Ni mkakati na mwongozo ii waweze kupewa hela na wafadhili wao.
Masikini wengi wanawaza kama wewe
 
Hakuna tajiri anayekuwa chawa
😲🤣🤣🤣

Tajiri unashinda na kukesha mitandaoni kumtetea Mbowe.....

Dada kuwa na vijibiashara vya urithi unavyovitangaza pale SABASABA si hoja ya wewe kuwa TAJIRI....
 
😲🤣🤣🤣

Tajiri unashinda na kukesha mitandaoni kumtetea Mbowe.....

Dada kuwa na vijibiashara vya urithi unavyovitangaza pale SABASABA si hoja ya wewe kuwa TAJIRI....
Hivi kuhesabu hela tu inawezaje kunibana , wewe kuli ni lazima uhenye
 
ndio maana chaguzi za ubunge alifanya juhudi apite bila kupingwa , kama wewe ni mtoto mdogo haya huwezi kujua , waulize wanaokutuma kama wanamkumbuka Phares Kabuye
Hayo ni majungu ya baadhi ya watu waliokuwa ndani ya CCM waliokuwa wanalitumia lile "gazeti lao la kumuandama hayati JPM" kwa sababu ya HOFU ZA UPEPO WAKE MKALI WA KISIASA......
Miaka hiyo sikuwa mkubwa ila nimeyasoma magazeti yote yaliyohifadhiwa na wazazi wangu kila "COPY" ya " jumatano na lile la alhamisi " .....nimefanya ANALYSIS ya magazeti yale nikiwa kijana mkubwa.....JPM ALIKUWA "SCAPEGOAT" wa mahasimu wake KISIASA.....

TAJIRI UCHWARA ACHA KUONGOPA, KUZUSHA NA KUDANGANYA🤣🤣
 
Hivi kuhesabu hela tu inawezaje kunibana , wewe kuli ni lazima uhenye
Tajiri wa mtandaoni....🤣🤣

Mimi si kuli japo sina fedha nyingi za "mashaka"......

Endelea kuota kuwa KATIBU MKUU HAZINA wa serikali yenu ya ndotoni ya chama cha "saccos".....🤣

#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
 
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo

Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada

View attachment 1911692View attachment 1911691

MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
Kama hao waandaaji ambao huwezi hata kuwataja hawana kibali tegemea kipigo cha mbwa koko. Wembe ni ule ule wa kipigo. Hatuwataki nyie Mahamza kwa mgongo wa katiba
 
Kama hao waandaaji ambao huwezi hata kuwataja hawana kibali tegemea kipigo cha mbwa koko. Wembe ni ule ule wa kipigo. Hatuwataki nyie Mahamza kwa mgongo wa katiba
Hujui kitu
 
Hawaishi kuichokoza serikali kama mkakati wao kwamba wako kazini kuipinga serikali. Ni mkakati na mwongozo ii waweze kupewa hela na wafadhili wao.
Na udhaifu wa serekali unawekwa wazi, waache waongee jioni watarudi kwa wake/waume zao.
 
Wamefata taratibu
Haya makongamano ya CCM wanafuata taratibu?
nw8X.jpg
AAxZmD.jpg
 
Back
Top Bottom