Kongamano la Wananchi la Katiba kufanyika Lamada Hotel tarehe 28/8/2021

Mmeomba kibali? Kila nchi ina utaratibu wake, hatupo USA hapa unajifanyia ujinga wako for the name of democracy
Mkuu hapa nilipo jirani zangu wamefanya harusi leo usiki kuna mkusanyiko zaidi ya watu 200. Na hakuna kibali. Haya ni matukio ya kijamii. Kazi ya polisi ni kutumia intelijensia kubaini harufu ya uhalifu na sio kuzuia shughulo yenyewe.
 
E9pOeFkWYAMPTpH.jpeg
 
Ilipoishia pale sio ya wananchi. Ile ilimaliziwa ma bunge la ccm
Bunge lile lilikuwa la wananchi....

Prof.Lipumba akawachuuza wenzake na KUWATOA bungeni kwa hoja za visingizio vya "intarahamwe"....sasa walitoka wenyewe....ulitaka bunge livunjwe ilihali AKIDI ilitimia ?!!!!

#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
 
Kwa mujibu wa Warioba wananchi wote kwa wingi sana walipendekeza serikali 3
 
Mkuu hapa nilipo jirani zangu wamefanya harusi leo usiki kuna mkusanyiko zaidi ya watu 200. Na hakuna kibali. Haya ni matukio ya kijamii. Kazi ya polisi ni kutumia intelijensia kubaini harufu ya uhalifu na sio kuzuia shughulo yenyewe.
Mkuu mimi nafikiri kuna sehemu CDM wanakosea kwenye movement zao, why kila siku wao tu wanazuiwa? Rais wa sasa yupo fair sana kwa wapinzani, hebu CDM wafuate hizo sheria zinazotajwa na hao mapolisi kuomba vibali vya mikusanyiko yao, then wakikataliwa hivyo vibali then waanzie hapo kudai haki zao za kikatiba wakiwa na viambatanisho
 
Waandaaji ni Wananchi
Mimi pia ni mwananchi na siwakilishwi na hao watu..... bunge (la katiba) ndilo lenye uhalali wa KUZISIKILIZA HOJA NZITO ZA WANANCHI WA TANZANIA KWA UJUMLA WAKE ?!!!!

Vinginevyo kusanyiko hilo litakuwa tu kwa ajili ya "by laws" za mitaa nisiyoishi wala kuhusika nayo.....

#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#G55HasReturnedToBreakTheUnion
 
Mkuu mimi nafikiri kuna sehemu CDM wanakosea kwenye movement zao, why kila siku wao tu wanazuiwa? Rais wa sasa yupo fair sana kwa wapinzani, hebu CDM wafuate hizo sheria zinazotajwa na hao mapolisi kuomba vibali vya mikusanyiko yao, then wakikataliwa hivyo vibali then waanzie hapo kudai haki zao za kikatiba wakiwa na viambatanisho
Wameshafanya hivyo sio leo wala jana. Mkuu wakiomba Chauma hata kesho watakubaliwa. Hujajua kwanini ni Chadema tu??
 
Mimi pia ni mwananchi na siwakilishwi na hao watu..... bunge ndilo lenye uhalali wa KUZISIKILIZA HOJA NZITO ZA WANANCHI WA TANZANIA KWA UJUMLA WAKE ?!!!!

Vinginevyo kusanyiko hilo litakuwa tu kwa ajili ya "by laws" za mitaa nisiyoishi wala kuhusika nayo.....

#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#G55HasReturnedToBreakTheUnion
Bunge la katiba sio hili bunge lililopitishwa na wakurugenzi na polisi
 
Mkuu mimi nafikiri kuna sehemu CDM wanakosea kwenye movement zao, why kila siku wao tu wanazuiwa? Rais wa sasa yupo fair sana kwa wapinzani, hebu CDM wafuate hizo sheria zinazotajwa na hao mapolisi kuomba vibali vya mikusanyiko yao, then wakikataliwa hivyo vibali then waanzie hapo kudai haki zao za kikatiba wakiwa na viambatanisho
Kama huijui Katiba nyamaza , Sisi hatufuati matakwa ya Sirro , tunafuata Katiba tu
 
Back
Top Bottom