Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Wingi wao ulikuwa kiasi gani?!!!Kwa mujibu wa Warioba wananchi wote kwa wingi sana walipendekeza serikali 3
Tuanze sasa Mkuu na Rais huyu then tuone nini kitatokea, maana bila kupata base ya madai ni ngumu kuelewekaWameshafanya hivyo sio leo wala jana. Mkuu wakiomba Chauma hata kesho watakubaliwa. Hujajua kwanini ni Chadema tu??
MBOWE SIO GAIDI!
View attachment 1911739👊 😎✌️😅
Hayati Mzee Sitta(Rip) aliwaomba AKINA LIPUMBA wasiukache mchakato ule.....waliposusa wenzao wakaendelea nao na AKIDI HAIKUTETEREKA......Bunge la katiba sio hili bunge lililopitishwa na wakurugenzi na polisi
Mh.DJ katika ubora wake.....
Halafu baada ya akidi kutimia ikawaje ?Hayati Mzee Sitta(Rip) aliwaomba AKINA LIPUMBA wasiukache mchakato ule.....waliposusa wenzao wakaendelea nao na AKIDI HAIKUTETEREKA......
Walaumuni walioususa......
SIKU SERIKALI IKIREJEA MCHAKATO WA KATIBA MPYA BASI TUENDELEE TULIPOISHIA....KATIBA PENDEKEZWA!
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#NchiKwanza
Hajawahi kutokea mwanasiasa mwenye ushawishi wa kumfikia MboweMh.DJ katika ubora wake.....
🤣🤣🤣Hajawahi kutokea mwanasiasa mwenye ushawishi wa kumfikia Mbowe
Ujinga !!. Nafikiri ni kinyume chake. Wewe ndiwe mjinga tofauti na unayemtuhumu kwa udhaifu huo.Mmeomba kibali? Kila nchi ina utaratibu wake, hatupo USA hapa unajifanyia ujinga wako for the name of democracy
Muundo wa serikali HAUHOJIKI WALA KUJADILIKA...Na maoni ya tume ya warioba yalikuwa ya uwazi na ukweli. Hakuna goli la mkono pale.
Magufuli hakuwahi kuwa na ushawishi popote , hata kwao walimkataa🤣🤣🤣
Hayati baba wa taifa Nyerere alikuwa "mchungaji mifugo".....
Hayati JPM alikuwa "sonara"....
Ni Mh.DJ Mbowe pekee aliye mwanasiasa......
Najua dada una biashara zako ndani na nje ya nchi na huwa unajitokeza kuonesha bidhaa zako pale SABASABA.....
Ok endelea kuota kuwa Mbowe atakuteua kuwa KATIBU MKUU HAZINA.....🤣
Hivi Jumbe Brown . Katiba mpya huru kwa wananchi wote ' inawekera nini nyinyi wana Ccm huku mmewekeza kwa wananchi toka 1961 ?!.Muundo wa serikali HAUHOJIKI WALA KUJADILIKA...
Ni kichaa gani awezaye kuhoji NDOA YA WAZAZI WAKE?!!!
😲😲😲You are deluded with OBSESSIVE COMPULSIVE DISORDER🤣Magufuli hakuwahi kuwa na ushawishi popote , hata kwao walimkataa
....katiba mpya mnayoitaka ina serikali 3 ambazo zinakwenda KUUVUNJA MUUNGANO....wasioutaka Muungano walioko pande zote mbili wanataka kupitia katika huo "UCHOCHORO".....Hivi Jumbe Brown . Katiba mpya huru kwa wananchi wote ' inawekera nini nyinyi wana Ccm huku mmewekeza kwa wananchi toka 1961 ?!.
Hofu yenu ni nini kwa hivi vyama vidogo vidogo hivi ?!
Huyo ni Chawa wa mtuHivi Jumbe Brown . Katiba mpya huru kwa wananchi wote ' inawekera nini nyinyi wana Ccm huku mmewekeza kwa wananchi toka 1961 ?!.
Hofu yenu ni nini kwa hivi vyama vidogo vidogo hivi ?!
....kama wewe ulivyo chawa wa DJ Mbowe.....Huyo ni Chawa wa mtu
wewe kama nani wa kulazimisha muungano uutakao ?....katiba mpya mnayoitaka ina serikali 3 ambazo zinakwenda KUUVUNJA MUUNGANO....wasioutaka Muungano walioko pande zote mbili wanataka kupitia katika huo "UCHOCHORO".....
Muungano wetu ni wa kipekee.....waje watuige...si lazima tuige kwa wengine......
Hakuna tajiri anayekuwa chawa....kama wewe ulivyo chawa wa DJ Mbowe.....
Hawaishi kuichokoza serikali kama mkakati wao kwamba wako kazini kuipinga serikali. Ni mkakati na mwongozo ii waweze kupewa hela na wafadhili wao.Hii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo
Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada
View attachment 1911692View attachment 1911691
MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
ndio maana chaguzi za ubunge alifanya juhudi apite bila kupingwa , kama wewe ni mtoto mdogo haya huwezi kujua , waulize wanaokutuma kama wanamkumbuka Phares Kabuye😲😲😲You are deluded with OBSESSIVE COMPULSIVE DISORDER🤣