Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Masikini wengi wanawaza kama weweHawaishi kuichokoza serikali kama mkakati wao kwamba wako kazini kuipinga serikali. Ni mkakati na mwongozo ii waweze kupewa hela na wafadhili wao.
😲🤣🤣🤣Hakuna tajiri anayekuwa chawa
Hivi kuhesabu hela tu inawezaje kunibana , wewe kuli ni lazima uhenye😲🤣🤣🤣
Tajiri unashinda na kukesha mitandaoni kumtetea Mbowe.....
Dada kuwa na vijibiashara vya urithi unavyovitangaza pale SABASABA si hoja ya wewe kuwa TAJIRI....
Akikujibu UnitagHivi Jumbe Brown . Katiba mpya huru kwa wananchi wote ' inawekera nini nyinyi wana Ccm huku mmewekeza kwa wananchi toka 1961 ?!.
Hofu yenu ni nini kwa hivi vyama vidogo vidogo hivi ?!
Hiki ulichokitaja unakijua maana yake? Acha kutia aibu😲😲😲You are deluded with OBSESSIVE COMPULSIVE DISORDER🤣
Hayo ni majungu ya baadhi ya watu waliokuwa ndani ya CCM waliokuwa wanalitumia lile "gazeti lao la kumuandama hayati JPM" kwa sababu ya HOFU ZA UPEPO WAKE MKALI WA KISIASA......ndio maana chaguzi za ubunge alifanya juhudi apite bila kupingwa , kama wewe ni mtoto mdogo haya huwezi kujua , waulize wanaokutuma kama wanamkumbuka Phares Kabuye
Kwa hiyo unakijua wewe pekee?!!! 🤣🤣🤣Hiki ulichokitaja unakijua maana yake? Acha kutia aibu
usihangaike na hao vijana duniHiki ulichokitaja unakijua maana yake? Acha kutia aibu
😅😅😅usihangaike na hao vijana duni
Tajiri wa mtandaoni....🤣🤣Hivi kuhesabu hela tu inawezaje kunibana , wewe kuli ni lazima uhenye
Uduni wangu ni nini dada tajiri wa "mtandaoni"?!!!🤣usihangaike na hao vijana duni
Kama hao waandaaji ambao huwezi hata kuwataja hawana kibali tegemea kipigo cha mbwa koko. Wembe ni ule ule wa kipigo. Hatuwataki nyie Mahamza kwa mgongo wa katibaHii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo
Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada
View attachment 1911692View attachment 1911691
MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
Hujui kituKama hao waandaaji ambao huwezi hata kuwataja hawana kibali tegemea kipigo cha mbwa koko. Wembe ni ule ule wa kipigo. Hatuwataki nyie Mahamza kwa mgongo wa katiba
Ndiyo sijui hicho kitu. Ugaidi kwangu hapanaHujui kitu
Kwani hujasikia kuwa ni la wananchi?Kongamano limeandaliwa bila ya kutambulishwa waandaaji.......
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#NchiKwanza
Wa kuuza spare feki au?Wamefata taratibu
Na udhaifu wa serekali unawekwa wazi, waache waongee jioni watarudi kwa wake/waume zao.Hawaishi kuichokoza serikali kama mkakati wao kwamba wako kazini kuipinga serikali. Ni mkakati na mwongozo ii waweze kupewa hela na wafadhili wao.
Imesahau kusema Polisi pia watakuwepiHii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo
Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada
View attachment 1911692View attachment 1911691
MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo
Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada
View attachment 1911692View attachment 1911691
MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
Haya makongamano ya CCM wanafuata taratibu?Wamefata taratibu