MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ditram Nchimbi wa Yanga SC ( Tanzania ) akijifananisha na mpaka akimuiga kila Kitu ( hasa Kiuchezaji ) Mshambuliaji Robert Lewandoski wa Bayern Munich ( Germany ) ni tatizo Kwako au kuna tatizo? Acha / Acheni Kukariri na kuwa na Kiherehere / Viherehere.Hahaha Krava Maga kwanini huwezagi kuacha asili yako? Nasoma mada huku nacheka nikimkumbuka jamaa yako Genta
Leo nimeamini Mama nae ni mwana JF.Si alisema anasoma mitandao......hata Biswalo anaweza kutenguliwa ujaji......
Ila pia mlio na madaraka punguzeni ujuaji, vyeo mlivyonavyo ni dhamana, unajisikiaje unatumbuliwa hakuna anayekutetea? Mnajisahau sana vijana
Aaah wapo wapo humu mkuu...Leo nimeamini Mama nae ni mwana JF.
go to hell matagaBaada ya kugundua umetukwaza kwa DPP Biswalo Mganga na Kelele kuwa nyingi Mitandaoni hatimaye leo umefanya U - Turn ya maana kwa Kutufurahisha kwa Kumtumbua DC Ole Sabaya.
Na kwa jinsi Watanzania tulivyo Watu wa Bendera fuata upepo na Watu tunaoishi kwa Matukio na Mihemko tayari la Biswalo Mganga tunaenda Kulisahau rasmi na sasa talk of the town ni Kufurahi kwa kilichotokea Ole Sabaya.
Na najua ukiona Watanzania bado hatujaridhika sana ( kivile ) ili kutuhamisha Fikra zetu ( kama kawaida yenu Wanasiasa na Marais ) sasa utamalizia kwa Kutufurahisha kuanzia pale Mkoani Iringa na Mkoani Mbeya.
You are just a Wasted Sperm on Earth.go to hell mataga
Ningeshangaa zaidi usingejibu hivi, hahaDitram Nchimbi wa Yanga SC ( Tanzania ) akijifananisha na mpaka akimuiga kila Kitu ( hasa Kiuchezaji ) Mshambuliaji Robert Lewandoski wa Bayern Munich ( Germany ) ni tatizo Kwako au kuna tatizo? Acha / Acheni Kukariri na kuwa na Kiherehere / Viherehere.
Cc: MALCOM LUMUMBA
Ninasikia hata Hayati nae alikuwepo JF.Aaah wapo wapo humu mkuu...
Ningeshangaa kama usingewashwa pia.Ningeshangaa zaidi usingejibu hivi, haha
Sidhani,jeiefu isingekuwepoNinasikia hata Hayati nae alikuwepo JF.
Mbona wapo wengi tu humu viongozi wakubwa tu? Watendaji, Wanasiasa, Wanausalama, Wanaulinzi. JF ni free platform for all mpaka wageni ambao siyo members. 🤣🤣🤣🤣Leo nimeamini Mama nae ni mwana JF.
AlikuwepoSidhani,jeiefu isingekuwepo
Oooh kumbeAlikuwepo
Baada ya kugundua umetukwaza kwa DPP Biswalo Mganga na Kelele kuwa nyingi Mitandaoni hatimaye leo umefanya U - Turn ya maana kwa Kutufurahisha kwa Kumtumbua DC Ole Sabaya.
Na kwa jinsi Watanzania tulivyo Watu wa Bendera fuata upepo na Watu tunaoishi kwa Matukio na Mihemko tayari la Biswalo Mganga tunaenda Kulisahau rasmi na sasa talk of the town ni Kufurahi kwa kilichotokea Ole Sabaya.
Na najua ukiona Watanzania bado hatujaridhika sana ( kivile ) ili kutuhamisha Fikra zetu ( kama kawaida yenu Wanasiasa na Marais ) sasa utamalizia kwa Kutufurahisha kuanzia pale Mkoani Iringa na Mkoani Mbeya.
AsanteNingeshangaa kama usingewashwa pia.