MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #21
Tumerogwa na ule Mwenge wa Uhuru.watu wenye vichwa vyepesi wameshasahau uozo wa tff wa 8/05.
tena kama tarehe 15/05 simba kama atafungwa/atashinda ndyo kabisa.
nashangaa sijui kwanini mwendazake alitumia nyundo kuulia mbu.
watanzania wengi wana low memory span.