Mkuu, wasikusumbue hawa. Adhana ni muhimu kuliko hata hicho wanachokifikiri wao, msiba.Sio ujasiri.Nadhani wakati ulifika wakaendelea na ibada kama kawaida yao kwani ibada hapo ni kila kipindi kila siku.Hizi adhana ni ukumbusho wa ibada kwa watu walio karibu na ndio kitu cha msingi kuletwa duniani...
Ungeleta na wewe ulivyoviona!Kwenye tukio zima la leo hicho ndo ulichokiona tu?
Akili ndogo!
Akili ndogo!
Uhuru ana hekima sana.Yes, adhana inapoadhiniwa unatakiwa kuacha unachofanya kujiandaa kwenda masjid ameheshimu nimependa.
Kwahyo kwa vile ni Imani yako mna Force watu wafanye mtakavyo, tofautisha imani na maoni binafsi ya mtu anachoamimi
Wewe ulipodharau imani za watu unaona ulitumia akili na sio hisia?Bwana wewe ndo una mihemko kisa dini hadi washindwa tumia akili watumia hisia tu
Sasa angeendelea wangemsikiaje? Hata ingekuwa ni sauti ya kitu kingine nafikiri angesitisha kwanza!Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule.
Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika kusubiri mpaka adhana ile iishe. Hii inaashiria nini wanabodi? Au alitulia tu kwa huzuni yake?
Ingekuwa ni muungurumo wa radi angeendelea?Salute Uhuru Kenyatta!
Tuheshimu Imani ya kila mmoja