Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

Kupotezeana muda, kila mtu asali Imani yake, Mimi hainihusu na mishe zangu zitaendelea
 
unamaanisha angeacha kuwaita waumini wake kwenda kufanya ibada?
kwa ninavyowafahamu waislamu, hakuna kitu kingine kikubwa zaidi ya ibada!
Hata mimi nafanya ibada hyo method ilikuwa ya kale with technology no need ya hvo vitu Tena kwa tukio ka la leo. Mie huenda church bila kengele
 
Moja ya barrier kwenye communication ni noise .Kenyatta alijua hawezi ongea kwenye noise akafikisha ujumbe ndio maana akaacha noise za Adhana ziishe ndio aendelee na hotuba.Sababu asingesikika Kasoma conmunications na kaielewa vizuri hakukariri .Bravo to Kenyatta
 
Ilibidi UHURU atulie kwanza. Nilifurahi ilipoisha adhana na kuanza kuzungumza tena watu walimpigia makofi kuonesha jinsi gani alifanya jambo la maana sana.
Ningekuwa Mimi naendelea tu kwa kweli hyo kusubiria nilikuwa sijuii
 
Hata mimi nafanya ibada hyo method ilikuwa ya kale with technology no need ya hvo vitu Tena kwa tukio ka la leo. Mie huenda church bila kengele
kuna misingi fulani ya kiislamu ambayo kamwe haiwezi kubadilika wala kuvunjwa, kuitana katika ibada kwa kupitia adhana ni mojawapo. wataendelea kuitana kwa mtindo huo hata milele
 
Ni vizuri sana kwa imani kuheshimiana,inaleta umoja na mshkamano.
Kama vipi Uhuru aitwe a.ka Mohammed na Samia aitwe a.k.a Magreth[emoji23]
 
Hii si mara ya kwanza namuona Kenyatta anafanya hivi. Inaonekana utamaduni wa kuheshimu imani za watu kwa Kenya uko juu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…