Kongole sana Peter Msechu

Kongole sana Peter Msechu

Swali Ni kuwa hao unaosema wameimba utopolo hizo nyimbo wamemuimbia Nani? Ni za msiba wa ANKO tu au na wewe unataka kwnye msiba wako zije zipigwe?

Nyimbo za 2000 uje ufananishe na za 2020? Walichoimba wao na alichokiimba msechu utofauti wake Ni upi?
Kwenye msiba wako nikiwa kama mgeni rasmi...tatizo nahisi hujaelewa msingi wa bandiko hili
 
yes ile nyimbo ya msechu naikubali..!! ila hawa wengine sikujua wanaimba ishu gani..!! ila ya msechu ni iko vizur aiseeh kajitahidi sana
 
Naona unatumiwa sana ...yawezekana umegusa hisia
 
Back
Top Bottom