binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Na wapinzani si walituchelewesha sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umtukane kwa kosa gani mkuu?Natamani nikutukane matusi ya kiunoni
Zimewaharibu hadi akili akina fulaniWakuu,
Huku hata iweje sitorudi tena pana funza za hatari, vumbi nikama linazaliwa huku yaani hapaeleweki kamwe naapa sitorudi tena huku hata iweje.
Huku hapafai kuishi maji ni tatizo sugu yaani palifaa watu wasikae kabisa maana pabaya sijawahi kuona.
Huku hapana hapana.
Ndugu-yai?****** ataamuru uitwe kamati ya maadili
Wakuu,
Huku hata iweje sitorudi tena pana funza za hatari, vumbi nikama linazaliwa huku yaani hapaeleweki kamwe naapa sitorudi tena huku hata iweje.
Huku hapafai kuishi maji ni tatizo sugu yaani palifaa watu wasikae kabisa maana pabaya sijawahi kuona.
Huku hapana hapana.
😂😂😂😂😂
Na wapinzani si walituchelewesha sana?
Wapelekwe wakimbizi wa afganistan kama vp
NomaNi kweli kongwa pabaya na pana sifa nyingi mbovu lakini funza wa miguuni ni uchafu wako.
Mimi nimefanya kibarua kongwa miaka miwili sijawahi kua na funza wala magaga
Vumbi la kongwa ni kama la Mbinga vijijini
Vumbi la kongwa lina afadhali kuliko la kasulu
Chumvi kwenye maji ya Kongwa ni afadhali kuliko udom Mbeya mjini ni Dust City na kwa msimu wa mvua ni mud City, tukuyu pekeake ndo Green City.
Hivi lile vumbi la Moshi mjini hulijui? Lile vumbi ukikanyaga chini linaruka linafunika kiatu chote, ile ni poda kabisa
Ukiwa mchafu, hata ukiishi Mwanza (Mwanza ni Pasafi) funza utawapata tuu.
Kongwa wamejaa wakaguru wagogo siyo wagogoKuna vumbi hatari..no wonder ule ugonjwa wa macho trachoma unawapiga sana wagogo!
Una uongo mwingi sana... Sijui upo kongwa ipi? Wengine Dodoma tuna itembea kila kona Kongwa ni moja wapo, na Ndugai ana pambana nayo haswa, week iliyopita alikuwa hapoakifanya vikao na watendaji wa halmashauri...Nikiondoka huku sirudi tena pabaya sana
Sio Dodoma yote hacha upotoshaji... Kingekuwa kilio cha mkoa, kama watu wa kibondo na kasulu wanavyo sumbuliwa na funza na lipo wazi...Mtoa maada akumbushwe kwamba Dodoma yote ipo hivyo..., jaribu kwenda Mpwapwa huko utashangaa
Kuna watu wana nadhalia sana...Kuna vumbi hatari..no wonder ule ugonjwa wa macho trachoma unawapiga sana wagogo!
Mpwapwa ndo balaa aiseee,Mtoa maada akumbushwe kwamba Dodoma yote ipo hivyo..., jaribu kwenda Mpwapwa huko utashangaa