Kongwa sirudi tena, kuna vumbi na funza miguuni nimepatia huku

Kongwa sirudi tena, kuna vumbi na funza miguuni nimepatia huku

Wakuu,

Huku hata iweje sitorudi tena pana funza za hatari, vumbi nikama linazaliwa huku yaani hapaeleweki kamwe naapa sitorudi tena huku hata iweje.

Huku hapafai kuishi maji ni tatizo sugu yaani palifaa watu wasikae kabisa maana pabaya sijawahi kuona.

Huku hapana hapana.
Ila wewe umetudhalilisha sana sio sisi wakazi wa Kongwa tu, bali pia na viongozi wetu. Kwani hujui wengi wetu tumekatwa vidole kwa sababu ya hao funza? Badala ya kutuhurumia ndo kwanza unatuponda.
 
Back
Top Bottom