Kongwa sirudi tena, kuna vumbi na funza miguuni nimepatia huku

Ndio maana yule jamaa alitumia mabilioni kutibiwa India kumbe funza walishakula Hadi ubongo......!
Nasikia eti alikatwa vidole vyote vya mguu wa kushoto. Ni funza ndiyo sababu au πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usifananishe moshi na sehemu za ajabu ajabu
 
Kongwa hii hii ya SPIKA WA BUNGE?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mgogo yoyote hapa karibu atuwekee angalau picha ya miguu tuone funza wanavyofanana, au kama kuna muha kutoka kasulu hapa naye anaweza kutusaidia.........tunaposema serikali ipeleke makao makuu Singida muwe mnaelewa, ona sasa hadi funza!
 
Arusha pia kuna vumbi...mwezi wa 8-10 maeneo ya KIA vumbi hadi huoni gari ya mbele yako...mleta mada alitaka tujue alienda Kongwa....nikikaa Handeni,pia Kabuku, kipindi cha upepo vumbi ni jingi, huyu mleta mada ana lake jambo, Shinyanga na Singida nako huwa na vumbi balaa...
 
Ndio maana tuna bunge la hovyo, dhaifu
 
Asante kwa hii reference
 
Hii ni shida kweli badala ya kuona Fursa unaona funza ... Ungerudi na ngombe 100 ungeitendea haki Kongwa haa haa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…