BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Usikute wewe mleta uzi ndiyo boya kabisa ....Kwa hili wimbi la hawa vichogo wanaomaliza fom foo, kuna haja ya mkakati madhubuti.
Nikiwaangalia hawa naona kabisa ni kama maboksi matupu ambayo yako rada katika uzalishaji wa watoto wasio na baba.
Akili yangu inaniambia, kizazi cha GEN Z ni kizazi kisicho bunifu na chenye akili duni sana.
Ni kizazi cha akili za mwendokasi, hata mashuleni wanafeli sana na kuzungusha maduara kuliko wakati wowote ule tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Muda wote wameng'aka na kuchachawa, wanawaza uzinzi, ulevi, na uharibifu.
Ona kama hawa, eti wako rada!
Kama vimezaliwa na moto kuanzia 2010's wakati ARV zimeshaingia na ukitumia kwa usahihi uwezo wa kuambukiza unapungua to 0.00% unasemaje kuwa vina moto na vinapeana sana moto? Unachotaka kumaanisha serikali na hizi NGO's zinazojihisisha na maswala haya na kusambaza dawa hayafanyi kazi zao kikamilifu si ndivyo?Hapo watapigwa mimba sio poa. Pia hivi vitoto vya siku hizi vinazaliwa na MOTO/WAYA. Vinapeana MOTO vyenyewe Kimasilhara tuu.
Hufungwi mkuu wamemaliza form4Ety hawa ndiyo wanafanya mtu afungwe miaka 30 hizi sheria zinabidi kubadilishwa
Hizi sheria zibadilishwe wanaume tunaonewa wakati vishandu vyenyewe vishachanganyikiwa kitambo tu
Anaweza kwenda five na six huyu huyu kwahiyo bado ana vinasaba vya uwanafunziHufungwi mkuu wamemaliza form4 wanatangaza kuwauzia Baba zao na Babu nyuchi,hawajali mvi za mavuzi.
five na six kwa DIVISHENI FOO ?Anaweza kwenda five na six huyu
Tokeo lijatoka wengine wamekaa karibu na wenye akilifive na six kwa DIVISHENI FOO ?
Acha wivu. Au kisa wewe umeshakuwa mshangazi hautaki na wenzio wale pesa za wanaume?!Kwa hili wimbi la hawa vichogo wanaomaliza fom foo, kuna haja ya mkakati madhubuti.
Nikiwaangalia hawa naona kabisa ni kama maboksi matupu ambayo yako rada katika uzalishaji wa watoto wasio na baba.
Akili yangu inaniambia, kizazi cha GEN Z ni kizazi kisicho bunifu na chenye akili duni sana.
Ni kizazi cha akili za mwendokasi, hata mashuleni wanafeli sana na kuzungusha maduara kuliko wakati wowote ule tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Muda wote wameng'aka na kuchachawa, wanawaza uzinzi, ulevi, na uharibifu.
Ona kama hawa, eti wako rada!
View attachment 3697680
Kama vimezaliwa na moto kuanzia 2010's wakati ARV zimeshaingia na ukitumia kwa usahihi uwezo wa kuambukiza unapungua to 0.00% unasemaje kuwa vina moto na vinapeana sana moto? Unachotaka kumaanisha serikali na hizi NGO's zinazojihisisha na maswala haya na kusambaza dawa hayafanyi kazi zao kikamilifu si ndivyo?
Nilitegemea uniambie kuwa maadili katika nyakati hizi yameshuka sana na jitihada kubwa inapaswa kuchukuliwa kuokoa kizazi cha sasa na vijavyo na hili ni jukumu la serikali kiangalia mitaala yake na kubuni njia mbadala zitakazoweza kuwasaidia wazazi na jamii nzima. Ila ndio hivyo tuko chini ya serikali isiyojari zaidi ya kuangalia vizazi vyao kwasababu wanawasomesha watoto wao nje bika kuangalia jamii nzima walioapa kuilinda na kuiongoza. Ninachoweza kusema kuwa kama taifa tunahitaji refomartion kubwa sana itakayoangalia kila upande na kila nyanja.
Mkuu Chivundu nimekuelewa na si kama nilikuwa nakupangia cha kuongea bali nilitaka ujazie nyama ili katika yote uliyosema ujumbe wako ufike kwa njia timilifu na uwakika with references. Ndiomana umeweza kuona mwishoni lawama zangu nimezielekezea wapi kwamba nakubaliana nawe. Tuna haki ya kuiongelea jamii yetuMkuu mbona kama unanipangia cha kusema?
Miaka hii miwili NGOs nyingi hazina ufadhili, tegemea elimu ya kujikinga kuwa hafifu na vizuizi vya kutopatikana kwa urahisi. Mashirika makubwa kama USAID, PEPFAR na HJMFRI yamesitisha ufadhili wa dawa.
Kuhusu viral load suppression (Kutoambukiza wengine), ni pale ambapo dawa inatumika kwa usahihi na kwa muda muafaka na dawa iwe haikupi "side effects". Watoto wengi wa kuzaliwa nao, na wale wa 18-24, uzingatiaji wao wa dawa ni hafifu. Hiyo ni kwa mujibu wa takwimu. Ndio maana maambukizi makubwa kwa sasa yapo kwenye age hiyo 18-24.
Hata hivyo hatubishani; upo sahihi mkuu.
Mkuu Chivundu nimekuelewa na si kama nilikuwa nakupangia cha kuongea bali nilitaka ujazie nyama ili katika yote uliyosema ujumbe wako ufike kwa njia timilifu na uwakika with references. Ndiomana umeweza kuona mwishoni lawama zangu nimezielekezea wapi kwamba nakubaliana nawe. Tuna haki ya kuiongelea jamii yetu
Uzazi wa kiholela ndio unazalisha haya mabroiler!!!Tukiwaambia msizae zae ovyo mnakuwa wakali , sasa ona takataka hizi mnazotuletea mtaani huku ,absolute human wretches