Kontena na Divisheni Ziro limetua mtaani: Mama Gwajima ingilia kati

Tukiwaambia msizae zae ovyo mnakuwa wakali , sasa ona takataka hizi mnazotuletea mtaani huku ,absolute human wretches
Dar es salaam Ina watu zaidi ya milioni 6 na ndio mkoa wenye uchumi mkubwa, biashara za Kila aina. Watu wengi wamefanikiwa Hapa. Lindi Ina watu chini ya laki 3 na ndio mkoa masikini. Acha watu wazae.
 
Yaani nyie mshindwe kulea halafu mnataka Gwajima aje awasaidie

Watanzania tumekua wapumbavu sana
 
Kwa hili nakupinga. Wahanga wa ukimwi wengi ni watu wazima 45 na kuendelea. Na wengi wao utawakuta wanashinda makanisani na misikini. Jiulize kwanini wapo makanisani? B'coz they each day maybe their last.
Mkuu, wahanga siku hizi ni madogo fanya research hata kwa vijana wenzio utapata majibu tu!
 
Gwajima ndio kawazaa? Hao ni yatima hawana Baba wala Mama? Ama wazazi wao wako busy sana?
 
Mkuu, wahanga siku hizi ni madogo fanya research hata kwa vijana wenzio utapata majibu tu!
Mimi nimeshazika sana. Vijana wa Miaka 18-28 wengi kinachowaua ni ajali. Ila ukisikia mtu nzima wa Miaka 45 na kuendelea kafariki huo ni ukimwi. Na mara nyingi ni wale waliokwenye ndoa. Unakuta anaanza kutangulia mume kufa Kisha mke anafuata. Usione huko makanisani watu wanashuka kwenye magari Yao wakiwa na furaha. Wengi wao ni waathirika

Ukitaka takwimu halisi za walioathirika wewe nenda makanisani tu huko wamejaa kama njugu.
 
Mnamchosha gwajima watoto wenu leeni wenyewe hadi wanakua ivo mpo nao kila siku yakiwashinda ndo gwajima aje nyie mngeweza kuwabadil tabia hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…