Kontena na Divisheni Ziro limetua mtaani: Mama Gwajima ingilia kati

maadili yameporomoka sana
 
Umepanic ni ngumu kunielewa, majuzi ya zamani ni tofauti na ya sasa, zamani hakikua na TikTok, insta, nk leo vipo na vinapatikana kwa urahisi, unajilinganishaje Jana na leo mkuu?
 
Hao ni wasichana wasiokuwa na maadili hata kidogo.
mazingira na malezi yasiyojali mipka imewafanya wawe na ujasiri wa kuropoka hivyo
Hapana nawatetea nikisikiliza na kukumbuka ulivo kua inanambia kuhusu vigezo vya kumpata mwanao ndio matokeo yake haya, kua mpole, what goes around comes around
 
Umepanic ni ngumu kunielewa, majuzi ya zamani ni tofauti na ya sasa, zamani hakikua na TikTok, insta, nk leo vipo na vinapatikana kwa urahisi, unajilinganishaje Jana na leo mkuu?
Naona umeamua kujijibu!

Wewe unaona tiktok tupo sisi au gen z wenyewe kwa wenyewe?

Kama sisi tunawaharibu kwa tiktok sasa hivi zamani tuliharibiwa na nini?

Tumia akili vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…