Kontena zinavyobadilishwa na kuwa makazi Kenya

Kontena zinavyobadilishwa na kuwa makazi Kenya

hakuna ubunifu hapo kaka ni njaa iliyo pitiliza. Unaishi kwenye kontena kama Njiwa ama Mbayuwayu. Nimekumbuka nilipo kua mdogo nilikua natengeneza Nyumba za Njiwa kwa madebe.

Aisee ni laana kua Mkenya!

Afadhali laana kuliko kula Albino kaka.....Acha kujifanya na hamna chochote hapo
 
yani naona vile watu wanaponda ati ni njaa na pengine hizo container hapo juu vile zimekua well furnished ni zaidi ya nyumba za hao wanaoponda
 
yani naona vile watu wanaponda ati ni njaa na pengine hizo container hapo juu vile zimekua well furnished ni zaidi ya nyumba za hao wanaoponda
Braza, be serious, unalinganisha nyumba (house) na shipping container,
Nyie jamaa mna maisha magumu sana..
Yaani mtu eti unaishi kwenye container. Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Kwaiyo hata ukichumbia binti akakuiliza umejenga utamjibu yes, but a shipping container..[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Muache kujifanya matajiri ilhali masikini wa kutupwa!

Pambaff!
 
hakuna ubunifu hapo kaka ni njaa iliyo pitiliza. Unaishi kwenye kontena kama Njiwa ama Mbayuwayu. Nimekumbuka nilipo kua mdogo nilikua natengeneza Nyumba za Njiwa kwa madebe.

Aisee ni laana kua Mkenya!

Hewe hohehahe wa kikomunisti!....katafute pahali pa kutoa hasira zako hizi zisababishwazo na wingu kubwa la umasikini uliokugubika .
kelb wahed!
 
You communists of Tanganyika have no purchasing power compared to others like Nigerians,Kenyans,South African or Egyptians, even Morroccans.
You are so inconsequential that's why service and retail companies shut down their outlets/ventures in Tanganyika en masse!
Shut your huge beaks!
 
Inategemea kijijini kwenu wapo nyuma kiasi gani ndio hadi washangae na kukupima akili kisa wameaona nyumba ya aina ya kontena. Tatizo miafrika kuponda kila ubunifu, mnaishi kwa mazoea, mzungu asingelazimisha kujenga reli na kutupeleka shule, Waafrika tungeishi porini kama sokwe.

Huu ni mfumo mzuri sana ambao unakuwezesha kusafirisha nyumba yako kirahisi.

Casa-Incubo-Container-House.png

Container-Homes-The-Outdoor-Room.jpg

maxresdefault.jpg
Mmetisha sana bro [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hewe hohehahe wa kikomunisti!....katafute pahali pa kutoa hasira zako hizi zisababishwazo na wingu kubwa la umasikini uliokugubika .
kelb wahed!

Do you even know what "hohehahe" stands for? Unanijua mimi? Keep your ridiculous assumption to yourself.
 
Mkuu MK254, hizo nyumba labda huko Nairobi kwenye baridi kwa Dar utatokota kama unga wa mahindi kwenye chungu cha maji moto.
 
Back
Top Bottom