HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kakope sasa ushindwe kulipa kama hujapishana na nyumba yako njiani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kakope sasa ushindwe kulipa kama hujapishana na nyumba yako njiani.
hakuna ubunifu hapo kaka ni njaa iliyo pitiliza. Unaishi kwenye kontena kama Njiwa ama Mbayuwayu. Nimekumbuka nilipo kua mdogo nilikua natengeneza Nyumba za Njiwa kwa madebe.
Aisee ni laana kua Mkenya!
Braza, be serious, unalinganisha nyumba (house) na shipping container,yani naona vile watu wanaponda ati ni njaa na pengine hizo container hapo juu vile zimekua well furnished ni zaidi ya nyumba za hao wanaoponda
Braza, be serious, unalinganisha nyumba (house) na shipping container,
Nyie jamaa mna maisha magumu sana..
Yaani mtu eti unaishi kwenye container. Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwaiyo hata ukichumbia binti akakuiliza umejenga utamjibu yes, but a shipping container..[emoji3] [emoji3] [emoji3]
hakuna ubunifu hapo kaka ni njaa iliyo pitiliza. Unaishi kwenye kontena kama Njiwa ama Mbayuwayu. Nimekumbuka nilipo kua mdogo nilikua natengeneza Nyumba za Njiwa kwa madebe.
Aisee ni laana kua Mkenya!
One man's trash is another man's treasure.Hayo bongo tunafugia mifugo
Mmetisha sana bro [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Inategemea kijijini kwenu wapo nyuma kiasi gani ndio hadi washangae na kukupima akili kisa wameaona nyumba ya aina ya kontena. Tatizo miafrika kuponda kila ubunifu, mnaishi kwa mazoea, mzungu asingelazimisha kujenga reli na kutupeleka shule, Waafrika tungeishi porini kama sokwe.
Huu ni mfumo mzuri sana ambao unakuwezesha kusafirisha nyumba yako kirahisi.
![]()
![]()
![]()
Hewe hohehahe wa kikomunisti!....katafute pahali pa kutoa hasira zako hizi zisababishwazo na wingu kubwa la umasikini uliokugubika .
kelb wahed!
Muache kujifanya matajiri ilhali masikini wa kutupwa!
Pambaff!
Hivi Kenya kuna shida ya Ardhi ?
Hili ni banda la kuku?