Kopesha milioni 3.6 urejeshewe milioni 6 ndani ya miezi 10

Status
Not open for further replies.
Bado uu mtt kwenye hela na kwenye biashara. Komaa bana Kuna watu walianza zero wakawa mabilionea. Kama una kichwa Cha biashara huhitaji mtaji kufanya biashara Bali inahitajika akili ya mjasiriamali kufanya biashara.
Nikuulize kitu wewe unaweza ukanikopesha alfu 50k nikurudishie mwisho wa mwezi na riba ya 40%.

Sikukatishi tamaa Bali nasema kuwa u mchanga Kuna miaka itafikia utakumbukq hii kauli yangu.
Why usiende bank Mana kule Kuna wanaohifadhi hela wanazo na hawajui kuwa wazifanyie Nini na Kuna watu Kama wewe huna hela ila una akili ya kuwa utazifanyia Nini so ukienda watakupatia fasta..
Yaani hela sijui ofisi ufunguliwe kwa upendo Kama vile Ni mzazi wako unamshawishi.
Nikuulize swali mfano mie nikakupatia nikifa ama wewe ukifa, biashara ikafa,ukafilisika,wizi ,moto,meli ikazama ,mtu atapaje hela yake.
Ama umekariri kuwa Leo ilivyo na kesho itakuwa ivyo ivyo.
Najua hutopenda Mana Niko kinyume na wewe na umeonyesha ulivyo mtt. Fanya mpango kwanza utume alfu kumi hapa nijiunge kifurushi.
Ingia angle investor
I like this chief🙏💪
 
atakazonunua na pango atamiliki anayetoa mkopo
Hakuna kitu Kama ichi,yaani samani nimiliki na wewe jina la ofisi liwe la kwako.
Kwenye cycle yako huna mtu wa kukupatia hii hela.
Komalia wazo lako litakubali Ila usiwe mwepesi kuamini kuwa unaweza ukamuonyesha mtu faida ya mdomo tu akakuelewa.
Pia hela Ni ngumu inapatikana kwa jasho na damu na kujitoa mhanga na maumivu makali mno sio ya kirahisirahisi kuwa utapewa kisa umesema kuwa ukitoa 3.6M nitakupatia 10M kwa mwaka. Hao utapata greed man ambao hawatumii logic Bali emotions Zina overpower or ku hijack cortex brain
 
Habarj wakuu
Naomba niende moja kwa moja kweny mada husika.
Baada ya kufanya research yangu kwa kipindi cha miezi 2 na kugundua sasa kumbe kweli fursa ipo na inalipa.
Nimeona ni muda sasa wa kufanya kweli katika hii business.
Kwa kipindi cha miezi miwili nimekuwa humu jamiiforums kuagizishia watu bidhaa sana sana kutokea Dubai ambapo nilipokuwa huko kwa muda wa miezi 6.

UZI WANGU HUU HAPA

Ukiacha simu kuna bidhaa kama laptops, desktops, maphotocopy machine na vifaa vya stationary, spare za magari ndo kabisaa usiongelee zipo za kumwaga na machimbo yake nayajua kwakuwa nimeshakaa huko.

Hii biashara ni nzuri na inalipa kwakuwa haihitaji mtaji wa bidhaa kwakuwa mteja mwenyew anafanya pre order ndio bidhaa inaletwa.

Changamoto ambayo nimekutana nayo ni kwakuwa mm nilikuwa huko kwenyevmasoko ya hizo simu
Huku dar es salaam alikuwepo mtu ambaye alitumia nyumban kwke kama ofisi kukamilisha masuala ya malipo (kupokea pesa) na Kumchukulia mteja mzigo wake(simu) pindi unapofika..

Kwa changamoto hii ya kutokuwa na ofisi rasmi nimepoteza baadhi ya wateja kulingana na wengi kama hauna ofisi rasmi iliyokuwa registered mtu hawezi kukuamin kukuachia pesa yake.
JAMBO LINGINE
Nahitaji kupanua soko kutoka dubai sasa nianze na uagizishaj wa bidhaa kutoka china ambapo huku zinapatikana bidhaa mpya kutoka viwandani

Utofauti wa china na dubai.Dubai unahitaji uwepo wewe mwenyew au awepo mtu kusimamia zoezi hilo
ila china unaweza ukafanya kila kitu online na biashara ikaenda vizuri tu.

Nirejee kwenye kichwa cha uzi kinavyosema
Ninachohitaji kutoka kwenu ni kusurppotiana katika hili kwa njia kati ya hizi zifuatazo kwa atakayekuwa tayr na jambo amelielwa na lipo ndani ya uwezo wake..

Ninachohitaji ni mkopo wa milioni 3.6 tu ambao nitautumia kufungulia ofisi ya hii biashara ...
Mchanganuo wake ni huu hapa ..

Ofisi = 1,500,000 (Miezi 3 @ 500,000 kwa mwezi)
Computer 2 = 500,000 ( @ 250,000 kwa moja)
Meza 3 = 600,000 (@ 200,000 kwa moja)
Viti 5 = 500,000 (@ 100,000 kwa kiti)
Usajili = 300,000 (Brela, TRA, Leseni)
Facebook Ads = 200,000( matangazo ya social media)

NB:- Ninachohitaji ni hivyo vitu tu hapo juu .Wala huhitaji kunikabidhi pesa wewe simamia malipo na manunuzi ya hivyo vitu kisha nikabidhi mimi nivitumie.
Njia ya kurejesha mkopo ni 600,000 kwa kila Mwisho wa mwezi ndani ya miezi 10..( october 2023 - july 2024)

Ninaamini kuna watu ambao hiki kiasi cha pesa wamekihifadhi tu labda kwa matumizi ya baday..
Mimi ningependa ukiwekeze katika wazo langu ili kiweze kukua maradufu..

Mwingine anaweza akawa ana zaidi ya kiasi hiki basi kupitia ofisi hii hii tunaweza tumia kama mtaji wa biashara kwa kuagiza mali kwa supplier kwa jumla na kuleta kuuza kwa wateja wa reja reja..

Hii ni model nyingne kwa wanaohitaji uwekezaji
Mimi nipo active 100% kwenye hii biashara kwahiyo nina muda wa kutosha kufanya research ya bidhaa na kujua uagize bidhaa ipi na inalipaje kisha tunakubaliana kiasi utakachopokea kama faida baada ya mzigo kuisha..

Naziona fursa nyingi ila mpka pale patakapokuwa na ofisi rasmi ndio watu wanajenga trust na kuamini hii biashara.

Background yangu ni masuala ya I.T na digital marketing kwa maana hiyoo masuala yotr ya online na marketing mimi mwenyewe ninayamudu..
nguvu kazi na watu wa ofisini wote wapi wa kuanza nao hii kazi..

Ninachomiss ni hicho kiasi tu cha kunianzishia safari yangu ya biashara mpyaa..

Nimeeleza kwa uwazi zaidi sikuhitaji masuala ya maelezo zaidi njoo pm.

Kila kitu nimeweka wazi nini nahitaji kufanya

Ninaomba sapoti yenu katika hili..
nakaribisha maswali , ushauri na maoni pia..

ASANTENI SANA

Title ieleweke hivi

KOPESHA MILIONI 3.6 UREJESHEWE 6M NDANI YA MIEZI 10​

Taratibu bablah hatuendi hivyo jomba .
 
I like this chief🙏💪
Kuna jamaa akadai kuwa namkatisha tamaa. Ishu ambayo namwambia uhalisia Ni kuwa hakuna hela laini. Kama huo mtaji huna tafuta vibarua piga mwaka mzima ukiipata hiyo hela njoo uingie Mana soko lipo na halikimbii. Ubebe zege mwaka mzima,ama upige ualimu ,ama kibarua site za ujenzi mwaka mzima baadaye uje umpatie mtu iyo hela ndio utajua utamu wa hela. Jiulize why mwenye hela anapendwa huelewi why ,watu hawako tayari kuumia so wanataka labda ulaini kupitia aliyekwisha haso
 
Daah Ila wabongo mmezidi ujuaji sana sasa kaka kuna biashara isiyo na risk??..unaongelea mambo ya kufa nani asiyejua kua kuna kufa kwahyo watu wote walioanzisha biashara kwa partnership au kwa mkopo wangekua wanafikiria hii dhana kuna watu wangefanikiwa kweli..

Unakuja hapa unamkatsha mtu tamaa eti una utoto...yan wewe ni bogus, mshamba halaf una wivu wa kijinga yan nataman radi ipige watu kama nyie mpotee sabb mpo kurudisha watu nyuma tu kwa point za kisenge..

Mtoa mada anaonyesha kabsa kuna kitu ameona vile vile risk ipo na inajulikana kabsa kila biashara ni risk na ngoja nikwambie stuffs za online zozote ya za aina zote kwa miongo hii zina hela sana kuliko unavyofkiria sio biashara zenu hiz za kuuza nguo unakariri tu.
Unapoteza muda kasome comments zake kwenye uzi wa mtoa mada wa kuagiza bidhaa Dubai utanielewa
 
Kuna jamaa akadai kuwa namkatisha tamaa. Ishu ambayo namwambia uhalisia Ni kuwa hakuna hela laini. Kama huo mtaji huna tafuta vibarua piga mwaka mzima ukiipata hiyo hela njoo uingie Mana soko lipo na halikimbii. Ubebe zege mwaka mzima,ama upige ualimu ,ama kibarua site za ujenzi mwaka mzima baadaye uje umpatie mtu iyo hela ndio utajua utamu wa hela. Jiulize why mwenye hela anapendwa huelewi why ,watu hawako tayari kuumia so wanataka labda ulaini kupitia aliyekwisha haso
Bro Bora aji tafute kwa inshu nyingine, aje apambanie Jambo lake.
👉Watu tuna idea na mipango mizito, ila still tuna jitafuta turejee main road.
 
Changamoto ambayo nimekutana nayo ni kwakuwa mm nilikuwa huko kwenyevmasoko ya hizo simu
Huku dar es salaam alikuwepo mtu ambaye alitumia nyumban kwke kama ofisi kukamilisha masuala ya malipo (kupokea pesa) na Kumchukulia mteja mzigo wake(simu) pindi unapofika..
Boss Ulikua Dubai kwenye masoko then umekosa 3Million ya kufungua Ofisi
 
Mkuu sikukatishi tamaa ila msikilize huyo keisangora
Anaambiwa ukweli wengine wanasema kuwa nawakatisha tamaa. Hata huyu aliyesema kuwa akampata Ni Ile tu kujifariji Ila sidhani Kama Kuna mtu atampatia mtu hela kirahisi. Labda akutane mtu Ana fremu na komputa amsaidie tu na bado hakuna mtu mwenye jasho la bure nasema. Hata hili kasema Kama kujifariji tu Ila hakuna mtu aliyempatia hizo hela bila malipo. Nasema hayupo vinginevyo hela zake ziwe zimekuja kwake na hajui hela inazalishwaje ama inalimwaje. Mfano aliyetoka chuo akapata Kazi salary kubwa kuliko umri wake atampati. Ila mtu mfano dereva wa hiace ama konda akaumia na hela wewe eti uchukue umpe mtu kisa ana wazo la biashara. Hela sio rahisi kiasi icho ndio Mana matapeli na wauza ngada mpaka Malaya hawawezi Isha na wanaobeti ama wanapenda kwa mchungaji na sangoma kupata hela bila ya maumivu wataendelea kuwepo na hawatoisha Mana asili ya binadamu halijawahi badilika tokea kuwekwa kwa misingi ya dunia
 
Pole sana ..kasema ameshapata.
 
Bado uu mtt kwenye hela na kwenye biashara. Komaa bana Kuna watu walianza zero wakawa mabilionea. Kama una kichwa Cha biashara huhitaji mtaji kufanya biashara Bali inahitajika akili ya mjasiriamali kufanya biashara.
Nikuulize kitu wewe unaweza ukanikopesha alfu 50k nikurudishie mwisho wa mwezi na riba ya 40%.

Sikukatishi tamaa Bali nasema kuwa u mchanga Kuna miaka itafikia utakumbukq hii kauli yangu.
Why usiende bank Mana kule Kuna wanaohifadhi hela wanazo na hawajui kuwa wazifanyie Nini na Kuna watu Kama wewe huna hela ila una akili ya kuwa utazifanyia Nini so ukienda watakupatia fasta..
Yaani hela sijui ofisi ufunguliwe kwa upendo Kama vile Ni mzazi wako unamshawishi.
Nikuulize swali mfano mie nikakupatia nikifa ama wewe ukifa, biashara ikafa,ukafilisika,wizi ,moto,meli ikazama ,mtu atapaje hela yake.
Ama umekariri kuwa Leo ilivyo na kesho itakuwa ivyo ivyo.
Najua hutopenda Mana Niko kinyume na wewe na umeonyesha ulivyo mtt. Fanya mpango kwanza utume alfu kumi hapa nijiunge kifurushi.
Ingia angle investor
Mwanangu una roho mbaya
 
Nadhani uzi uishie hapa umetoa ufafanuzi na dogo ataendelea kuupitia mpaka atakapokomaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom