Kopesha milioni 3.6 urejeshewe milioni 6 ndani ya miezi 10

Status
Not open for further replies.
I like this chief🙏💪
 
atakazonunua na pango atamiliki anayetoa mkopo
Hakuna kitu Kama ichi,yaani samani nimiliki na wewe jina la ofisi liwe la kwako.
Kwenye cycle yako huna mtu wa kukupatia hii hela.
Komalia wazo lako litakubali Ila usiwe mwepesi kuamini kuwa unaweza ukamuonyesha mtu faida ya mdomo tu akakuelewa.
Pia hela Ni ngumu inapatikana kwa jasho na damu na kujitoa mhanga na maumivu makali mno sio ya kirahisirahisi kuwa utapewa kisa umesema kuwa ukitoa 3.6M nitakupatia 10M kwa mwaka. Hao utapata greed man ambao hawatumii logic Bali emotions Zina overpower or ku hijack cortex brain
 
Taratibu bablah hatuendi hivyo jomba .
 
I like this chief🙏💪
Kuna jamaa akadai kuwa namkatisha tamaa. Ishu ambayo namwambia uhalisia Ni kuwa hakuna hela laini. Kama huo mtaji huna tafuta vibarua piga mwaka mzima ukiipata hiyo hela njoo uingie Mana soko lipo na halikimbii. Ubebe zege mwaka mzima,ama upige ualimu ,ama kibarua site za ujenzi mwaka mzima baadaye uje umpatie mtu iyo hela ndio utajua utamu wa hela. Jiulize why mwenye hela anapendwa huelewi why ,watu hawako tayari kuumia so wanataka labda ulaini kupitia aliyekwisha haso
 
Unapoteza muda kasome comments zake kwenye uzi wa mtoa mada wa kuagiza bidhaa Dubai utanielewa
 
Bro Bora aji tafute kwa inshu nyingine, aje apambanie Jambo lake.
👉Watu tuna idea na mipango mizito, ila still tuna jitafuta turejee main road.
 
Boss Ulikua Dubai kwenye masoko then umekosa 3Million ya kufungua Ofisi
 
Mkuu sikukatishi tamaa ila msikilize huyo keisangora
Anaambiwa ukweli wengine wanasema kuwa nawakatisha tamaa. Hata huyu aliyesema kuwa akampata Ni Ile tu kujifariji Ila sidhani Kama Kuna mtu atampatia mtu hela kirahisi. Labda akutane mtu Ana fremu na komputa amsaidie tu na bado hakuna mtu mwenye jasho la bure nasema. Hata hili kasema Kama kujifariji tu Ila hakuna mtu aliyempatia hizo hela bila malipo. Nasema hayupo vinginevyo hela zake ziwe zimekuja kwake na hajui hela inazalishwaje ama inalimwaje. Mfano aliyetoka chuo akapata Kazi salary kubwa kuliko umri wake atampati. Ila mtu mfano dereva wa hiace ama konda akaumia na hela wewe eti uchukue umpe mtu kisa ana wazo la biashara. Hela sio rahisi kiasi icho ndio Mana matapeli na wauza ngada mpaka Malaya hawawezi Isha na wanaobeti ama wanapenda kwa mchungaji na sangoma kupata hela bila ya maumivu wataendelea kuwepo na hawatoisha Mana asili ya binadamu halijawahi badilika tokea kuwekwa kwa misingi ya dunia
 
Pole sana ..kasema ameshapata.
 
Mwanangu una roho mbaya
 
Nadhani uzi uishie hapa umetoa ufafanuzi na dogo ataendelea kuupitia mpaka atakapokomaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…