Korea Kaskazini afanya jaribio la kurusha kombora la balistiki, aongeza tension katika dunia

Korea Kaskazini afanya jaribio la kurusha kombora la balistiki, aongeza tension katika dunia

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Japan na Korea Kusini wamesema kuwa leo jumapili Korea ya Kaskazini imefanya majaribio ya kurusha kombora la balistiki.

Jaribio hili limefanyika kukiwa na chini ya wiki mbili kuelekea uchaguzi wa rais nchini South Korea, lakini pia katika kipindi ambacho dunia imekuwa ktk hali ya kushughulishwa kukubwa na vita ya Russia nchini Ukraine.

Mpaka dakika hii kwa jinsi mataifa ya Magharibi ikiwemo Marekani yalivyoshughulishwa na vita ya Putin, hawajapata muda wa kuzungumza chochote kufuatia jaribio hilo la urushaji wa kombora la balistiki huko North Korea.

Japan wamelalamika kuwa North Korea kutumia mwanya uliopo (jumuia ya kimataifa kushughulishwa zaidi na vita ya Putin) kurusha makombora yake, ni jambo lisilovumilika.

Lengo ni kutaka dunia, hasa Marekani,wahamishe attention kutoka mzozo wa Ukraine na waanze ku-focus na North Korea kurusha makombara.

North Korea na Russia hapa wamekula njama kutaka kupunguza attention ya dunia kwenye mzozo wa Ukraine.
 
pole
 
Screenshot_20220227-095509-1.jpg

Screenshot_20220227-095509-1.jpg
 
Japan amejiingiza kwenye mzozo kwa kuishutumu urusi tofauti na korea kusini aliyeamua kukaa kimya
 
Back
Top Bottom