Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Japan na Korea Kusini wamesema kuwa leo jumapili Korea ya Kaskazini imefanya majaribio ya kurusha kombora la balistiki.
Jaribio hili limefanyika kukiwa na chini ya wiki mbili kuelekea uchaguzi wa rais nchini South Korea, lakini pia katika kipindi ambacho dunia imekuwa ktk hali ya kushughulishwa kukubwa na vita ya Russia nchini Ukraine.
Mpaka dakika hii kwa jinsi mataifa ya Magharibi ikiwemo Marekani yalivyoshughulishwa na vita ya Putin, hawajapata muda wa kuzungumza chochote kufuatia jaribio hilo la urushaji wa kombora la balistiki huko North Korea.
Japan wamelalamika kuwa North Korea kutumia mwanya uliopo (jumuia ya kimataifa kushughulishwa zaidi na vita ya Putin) kurusha makombora yake, ni jambo lisilovumilika.
www.news18.com

North Korea Fires Possible Ballistic Missile for First Time in a Month, Say South Korea and Japan - News18
Japan's Defense Minister Nobuo Kishi said Sunday's missile may have flown as high as 600 km (400 miles), to a range of 300 km (200 miles).