Korea kaskazini imeshindikana, haiwezekani, yaonesha silaha mpya

Korea kaskazini imeshindikana, haiwezekani, yaonesha silaha mpya

Yani Korea Kaskazini ana mavitu ya hatari mpaka anatamani tu mtu aanzishe uchokozi amtoe mfano...
Ndo mnavojidanganya ivo!!!!!!!!

Eti N. Korea uipambanishe na USA si utaira huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Nchi ambayo sio Ata regional power unataka uilinganishe na world super power??? Labda kama umelewa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Wanajeshi wa n. Korea kila siku wanakimbilia Nchi jirani kwa sababu ya njaa kali, Ata mshara watakua hawapewi wale jamaa.
 
Wamarekani hawalali wanataka kuifuta KK kwenye uso wa dunia kwa sbabu ya hizo usemazo manati.
Kama walipiga Iraq, wakidai in WMD wanashindwa nn kwa KK
Wamarekan wangekuwa wanahofia KK kama ulivyo andika hapa? Nadhan wangeacha hata ku deal na corona.. wainvest kwenye silaha.
Ila wako busy wanaish maisha yao kama kawa
 
Ndo mnavojidanganya ivo!!!!!!!!

Eti N. Korea uipambanishe na USA si utaira huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Nchi ambayo sio Ata regional power unataka uilinganishe na world super power??? Labda kama umelewa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Wanajeshi wa n. Korea kila siku wanakimbilia Nchi jirani kwa sababu ya njaa kali, Ata mshara watakua hawapewi wale jamaa.

Ebu niambie, ni lini marekani alipambana kijeshi pekeake bila msaada wa mashoga wenzie! Nawashangaeni sana mnavyompamba. Waliosema AFRIKA NO AKILI walikosea? Mnakwama wapi mzehe!!!!!
 
Back
Top Bottom