Korea kaskazini imeshindikana, haiwezekani, yaonesha silaha mpya

Korea kaskazini imeshindikana, haiwezekani, yaonesha silaha mpya

Inabidi kwanza utambue ,,kipindi sadam ,anatawara alikua na vita vikubwa na irani na kwenye kuondoa ule UTAWARA ilihusika irani na Marekani hilo utambue: na alipo kamatwa alinyongwa hadharani ,,Embu fuatilia vyema ;lakini siku zote wairani hukuweka nyuma na ndio maana hufanikiwa sana
Naifahamu sana historia ya Saadam Hussein na ninafahamu sana mapinduzi ya kiislamu ya Iran, nafahamu pia uhusiano wa Iraq ya Saadam Na Iran ya mapinduzi; bado nasisitiza, USA kuisaidia Iraq kumpindua Saadam hilo haliwezi kua kweli.

Vita ya ghuba ya mwaka 1990, Saadam Hussein aliwahi kukimbiza baadhi ya ndege zake za kivita Iran ili ziharibiwe na mabomu ya USA, Iran ilikubali kwa shingo upande halafu leo tena Iran ishirikiane na USA kumuadhibu Saadam? Haiwezi kua kweli, USA na Iran ni kama paka na panya.
 
Hana nuclear ya kufika masafa marefu

Mbabe wa nuclear duniani ni mmoja tu
Unaujua umbali wa kutoka North Korea hadi Marekani au umetiririka tu mkuu. Unadhani Marekani ana hofu kwamba North Korea itashambulia South Africa?
 
Kwa rasimali gani ambazo kk wanazo?

Vita yeyote inayofanyika lazima kuwe kuna upande unaokwenda kupata faida kupitia vita hiyo

Sasa marekani atafaidika na kitu ganj hapo nk?
Wewe Jamaa bwana ..nyie wamerekani wa tandale huwa mnashida Sana. Kwahiyo watakusema kwamba USA huwa anapiga kelele bure tu bila sababu yaani anaitishia kuipiga Vita NK ilahali hawana rasilimali zozote zile za maana ambazo USA anaweza kufaidika nazo ..Sasa Kama jibu ndio Hilo why USA Huwa anapoteza muda kwa kjiingiza katika conflict na NK?

Hivi unajifanya haitambui kabisa kuwa USA Kuna manufaa makubwa anayo yapata kwa kupitia SK Na Japan na nchi zote hizi alishaingia nazo mkataba wa kuzilinda. Hauoni kwamba ukuuaji wa nguvu ya kijeshi wa NK ni tishio la usalama kwa japan na SK, endapo NK akiweza kutishia usalama wa nchi hizo mbili je hauoni kwamba kwa namna 1 au nyingine maslahi ya USA yatakuwa yameguswa?
 
Iran impe msaada Marekani kwa Iraq? Nadhani huijui vizuri historia ya hizo nchi mbili, Iraq na Iran.
Katika siasa adui yako anaweza kuwa rafiki kwaajili ya kupata maslahi fulani. Ni kweli Iran walitoa msaada lakini haukuwa msaada wa makubaliano na USA Bali waliwaingiza Chaka USA ili apate kuipiga Iraq.
 
Maana ya kutomuogopa mtu ni kwamba kwa lolote lile utamkabili... Haijalishi ni matokeo gani utayapata baada ya kumkabili... Sasa kitendo cha mmarekani kutomkabili K.K kwa kisingizio cha Japan na S.K ni wazi K.K ana nguvu na uwezo wa kufanya makubwa tu... Hivyo nyie wamarekani weusi mtulie
[emoji16][emoji16]
 
Inabidi kwanza utambue ,,kipindi sadam ,anatawara alikua na vita vikubwa na irani na kwenye kuondoa ule UTAWARA ilihusika irani na Marekani hilo utambue: na alipo kamatwa alinyongwa hadharani ,,Embu fuatilia vyema ;lakini siku zote wairani hukuweka nyuma na ndio maana hufanikiwa sana
Iran aliisaidia mpaka Israel kulipua vinu vya nyuklia vya Iraq .. Ijapokuwa Ni mahasimu [emoji16][emoji16] Iran akili zao hazifai
 
Wewe Jamaa bwana ..nyie wamerekani wa tandale huwa mnashida Sana .. kwahiyo watakusema kwamba USA huwa anapiga kelele bure tu bila sababu yaani anaitishia kuipiga Vita NK ilahali hawana rasilimali zozote zile za maana ambazo USA anaweza kufaidika nazo ..Sasa Kama jibu ndio Hilo why USA Huwa anapoteza muda kwa kjiingiza katika conflict na NK !?

Hivi unajifanya haitambui kabisa kuwa USA Kuna manufaa makubwa anayo yapata kwa kupitia SK Na Japan na nchi zote hizi alishaingia nazo mkataba wa kuzilinda ... Hauoni kwamba ukuuaji wa nguvu ya kijeshi wa NK ni tishio la usalama kwa japan na SK .. endapo NK akiweza kutishia usalama wa nchi hizo mbili je hauoni kwamba kwa namna 1 au nyingine maslahi ya USA yatakuwa yameguswa !??
Hizo ni figisu za trump ambazo kimsingi tunaweza kuziita personal problems na ndio maana biden ameanza kuondoa vikwazo ambavyo havina maslahi kwa nchi

Conflicts za US kwa NK ni zipi hizo?

machoni mwangu mimi na wewe tunaweza kuona hivyo ila katika perception ya kijeshi north korea sio tishio kwa nchi kubwa kama marekani

Nk korea kijeshi tu kazidiwa na mhasimu wake halafu kwenye rank ya majeshi yenye silaha nzito za kivita duniani nk sidhani kama hata top ten yupo, mabomu anayoyanadi kuyatengeneza saizi marekani alishafanya hivyo miaka ya 50 wayback huko
 
N. Korea uwezo Wake kivita ni wakawaida sana.
Sema Inakua overrated sana.

Inapewa sifa ambazo haina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inaweza kuwa na uwezo mdogo ila ukumbuje china na russia lazma watoe support nzito na Iran pia
 
watu hawajui hata ramani humu wanadhani north korea na usa ni mbali wakat ni 10,000km tu missile inafika kirahisi tu
 
Back
Top Bottom