Mbabe wa nyukilia Dunian wako wengi
Marekan
Urusi
China
Uingereza
Ufaransa
Korea kask
Israel
Ujeruman
Na Mataifa mengine makubwa ya Ulaya ( ingawa hayakiri umiliki wa silaha hizo kama ilivo Israel).
Marekan inamuogopa Mkore kwa sababh moja tu
Mkore alishasema, siku marekan akithubutu, Yeye ataifayatua Japan ,Korea kusin kwa nyukilia ( Kwaivo ili Marekan aanzishe vita na korea lazima mataifa hayo mawili yawe yamempa ruksa ).
Pia Korea imepakana na Wachina na Warusi , mataifa haya mawili kamwe hayawez ruhusu Marekan (NATO) Itie mizizi Korea yaan kuruhusu Adui awe mpakan mwako.
Ndio maana unaona Uchina inakatalia vile visiwa dhidi ya Japan.
Huku Urusi ikinyakua Majimbo kadhaa ya Ukraine.
Yote ni katika kutengeneza Ombwe la kiusalama.